Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Viwanda vya nguo vijipange upyaWahenga wa kizazi kipya aisee ni shida, kwanza sipati picha hizo nguo watakazokuja kuvaa hawa vijana, kama sahv tushaanza kuzichanachana, hizo za baadae zitakuwa kama yale matambala ya deki [emoji16][emoji16][emoji16]