spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji286]Hiyo boredom ndiyo tunaishi nayo wenzio
[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji286]Hiyo boredom ndiyo tunaishi nayo wenzio
Hahahaaa niliskia juzi wakisimuliana walizaliwa mjiniKumbe ulikua umeshatoka ushirombo kipindi hiko[emoji2]
hiyo number 4 hebu rudia tena sijasikia vizuri[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mpaka baba mwenye nyumba kaja kunichungulia doh!
4. Haina ushemeji ......... tunakulaga
5.Mwaname .............mashine
6.Unaringa una nini .......... Umekopa vikoba/wigi la kuazima.
Nimekumiss ujue[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji286]
nakuona nakuonaWaambie hao
Samsung inanikwamisha upande wa charge tu mkuu, mimi nayeshinda na earphone maskioni najikuta masaa manne tu zero, ila kuna katecno niliwahi kusafiri nacho dar hadi iringa nikafika nacho na 20% charge afu fulltime nabang na midundo samtime nacheki series kwenye phoneNilikua nayo Tecno p5 mwaka 2015 nikauza nikarudi kwenye Samsung tena mpaka leo hua ni samsung tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba tu msijifiche mpaka kesho kutwa, maana kama watoto wanaweza kujificha kutwa nzima, je nyie watu wazima?[emoji848]nimekuja kwenye katani sijakuona au umejificha tuanze michezo ya kombolela😀😀😀
pamoja. nikipata wasa nitakuchek pm. .pamoja kiongozi sema huwa inatokea kama gafla
[emoji3]watu wa kijijini wakija mjini kazi kweli hata akae miaka 30 habaduliki ref masanja na jiweHahahaaa niliskia juzi wakisimuliana walizaliwa mjini
uchochezi ThadUnataka uongeze wa 3? Ama kweli kichwa chako sio kisafi
Hapa ni SAA moja na dk 42 jioni ya IjumaaNimekumiss ujue
Yeah hilo ndio tatizo la samsung zinazidiwa hapo ni itel wamepoa simu inakaa na moto siku 3 data onSamsung inanikwamisha upande wa charge tu mkuu, mimi nayeshinda na earphone maskioni najikuta masaa manne tu zero, ila kuna katecno niliwahi kusafiri nacho dar hadi iringa nikafika nacho na 20% charge afu fulltime nabang na midundo samtime nacheki series kwenye phone
Hivyo eeeh![emoji848][emoji848][emoji848]Boredom = opportunity to explore and prosper
njema kabisa boss karibu jamviniHabari za lindo?
@Thad ulikuaga unacheza kibaba baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba tu msijifiche mpaka kesho kutwa, maana kama watoto wanaweza kujificha kutwa nzima, je nyie watu wazima?[emoji848]
Unanitega shemeji! (in Msagasumu's voice)hiyo number 4 hebu rudia tena sijasikia vizuri
Ukiwa bored ndo muda mwafaka wa kufanya extra curricular activitiesHivyo eeeh![emoji848][emoji848][emoji848]
hahahah sio mimi lakiniHahaha mna maana nyie, kusikia kesi tu watu mkasambaratika mkahama mpaka kijiwe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna cha kuniona muwe mnaaganakuona nakuona
mkuu habari yako[emoji702] [emoji712] [emoji742] [emoji286]