JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaha waptrick ulikua ndio moja ya mitandao mikubwa mno ila sikuizi madogo hawawezi ujua. Kwanza vitu wanavyotumia mule hakuna. Juzi hapa nimeona dogo anacheza game la call of duty lina ukubwa wa 36 GB
Dadeq, watoto wa siku hizi hawana roots, wamezaliwa kwenye branches, hawajui hata kulikuwaga na word perfect 95 [emoji23][emoji23]
Ukute nyie pia ni madogo ila hapa mnajifanya wakuubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukute nyie pia ni madogo ila hapa mnajifanya wakuubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16]hii yote ni sababu hutaki kuja geto ndio maana mpaka unaniita dogo
By the way uko sahihi kidogo.mimi kuna baadhi ya nyuzi ukinikuta utadhani mtu wa miaka 50-70 nikiwa na wahenga nashusha nondo mpaka wanahisi mi mwenzao
 
Back
Top Bottom