Mzima, vipi huko mkuu kwemaMzima lakini..
Nipo huku nje kwenye hizi kataninaruhusiwa kukuletea huko chumbani kwa niaba yake
Msemo mmoja wapo wa sholo mwamba...[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo haiwezi kuwa rasmi mpaka wawe wahenga kwanza?
Mchochezi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mchokozi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mpaka baba mwenye nyumba kaja kunichungulia doh!Utakuja kuskia
"Wahenga walisema:
1. Kuku kuku jogoo jinaa
2. Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiiii
3. Weka weekaa bahariiaaaaa, " na misemo mingine kibao nishaisahau [emoji23][emoji23]
Sina nenolet's maneno .
Waambie haoiceman kitambo sana sijamwona, muwe mnaaga
KaribuNdo naingia lindo ivyo!
Kwema kabisa yaniMzima, vipi huko mkuu kwema
[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo upunguze michapio lol!Mchochezi...
duuuhSina neno
Wahenga wa kizazi kipya aisee ni shida, kwanza sipati picha hizo nguo watakazokuja kuvaa hawa vijana, kama sahv tushaanza kuzichanachana, hizo za baadae zitakuwa kama yale matambala ya deki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha mpaka baba mwenye nyumba kaja kunichungulia doh!
4. Haina ushemeji ......... tunakulaga
5.Mwaname .............mashine
6.Unaringa una nini .......... Umekopa vikoba/wigi la kuazima.
Sawa Bibie.....Naunga mkono hoja...[emoji23][emoji23][emoji23] Ndo upunguze michapio lol!
Hahaha sure mkuuDah mkuu basi kipindi hiko ndo tunaenda cafe kuchat na yahoo messenger, asee ile feeling ishapoteaga, km vile unasubiria barua kutoka kwenye basi kituoni
Unataka uongeze wa 3? Ama kweli kichwa chako sio kisafinaruhusiwa kukuletea huko chumbani kwa niaba yake
Piga hodi....Ndo naingia lindo ivyo!
Mbona hivyo!!!duuuh