JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Biology kwangu ilikuA jiwe sanaa. Daftari nikaliweka dom nikawa sisomi coz niliona napoteza time.nimekuja kusoma miezi ya mwisho nikatoka na D
Comp ilikua raha sana mkuu,kuingia yahoo wakati ule dah,na kucheza video games, ila mimi niliipenda sababu nilikua napata vi b na A nakua wa kwanza kwenye somo
Dah mkuu basi kipindi hiko ndo tunaenda cafe kuchat na yahoo messenger, asee ile feeling ishapoteaga, km vile unasubiria barua kutoka kwenye basi kituoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo haiwezi kuwa rasmi mpaka wawe wahanga kwanza?
Wahenga waliokwepo kipindi kabla baba wa taifa hajazaliwa ndo wameandika kamusi tunayotumia sisi, sasa kizazi hiki cha sahivi wahenga wao ndo akina shoro mwamba, watoto wa watoto wao ndo watakuwa wanawaskiliza, huku wakiwa wanavaa nguo zilizoisha kabisaa [emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dunia simama nishuke
 
Back
Top Bottom