JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] changamoto kipindi hicho, mp3 kuubwa ina mb 1 au 2 waptrick
Hahahaha waptrick ulikua ndio moja ya mitandao mikubwa mno ila sikuizi madogo hawawezi ujua. Kwanza vitu wanavyotumia mule hakuna. Juzi hapa nimeona dogo anacheza game la call of duty lina ukubwa wa 36 GB
 
Dadeq, watoto wa siku hizi hawana roots, wamezaliwa kwenye branches, hawajui hata kulikuwaga na word perfect 95 [emoji23][emoji23]
 
Teknolojia iliripuka sana kipindi cha 2008 hadi 2012, nakumbuka 2007 ndo niliona laptop ina duo core, nilikua naiona km super computer, sasa kipindi hiko ndo Nokia alikua anakimbiza kwenye smartphone, Nokia kaua sana soko alikua km tecno walivyo sahv
Ooh, ila tecno yuko moto kila siku anatoa simu mpaka za elfu 60[emoji23] nilisikia marekani na Ulaya hakuna product za Tecno
 
Back
Top Bottom