Naona uko shift ya usiku leoHapo angalau kidogo kuliko yale masaa uliyoyataja mwanzo
Naona uaenzi kichwa cha uzibasis itabidi tulale huko huko ili kila mmoja amfaidi mwenzie
Unadhani mpaka leo umafikiria hili swala we ni wakwanza? Walishajaribu hilo na mpaka majirami wa makanisa mengine walishaenda kushtaki polisi na kwenye taasisi ya usajili wa makanisa n so far nothing has been done. Mambo yahusianayo na imani wee yaache tu mkuuinabidi ije sheria mpya Makanisa nayo yafungwe sàa sita
Haha you have made my dawn morning. Eti majaribu mwanamke anaposema "oh thanks Jesus" hahaMimi wapo hapa jirani yangu sasa wanaanza asubuhi mpaka saa moja usiku basi vurugu
Utasikia" piga keleleee" tumuimbie yesu oh thank you jesus oh thank you jesus (usiombe mwanamke aseme haya maneno,ni majaribu unaeza kwenda kuchungulia )
Kweli kabisaKuna ukweli wowote?
Things that keep you up at night: loneliness, cold, heat, hunger, late night texting, memories, over thinking, worries, the internet.
UnarahaLeo naona usingizi umegoma tu mi sinaga cha kunikosesha usingizi hata nikipigwa kibuti Leo usiku ukiingia najikoromea zangu vizuri tu yani
AminaUnadhani mpaka leo umafikiria hili swala we ni wakwanza? Walishajaribu hilo na mpaka majirami wa makanisa mengine walishaenda kushtaki polisi na kwenye taasisi ya usajili wa makanisa n so far nothing has been done. Mambo yahusianayo na imani wee yaache tu mkuu
Wacha watu waombe wamsifu Mungu wao siku ziende haha
Muda huuusiku wa manane unaisha saa ngapi
na sasa ni 12:00Muda huu
Muda huuusiku wa manane unaisha saa ngapi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hey za likizo
Da da da jaman [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbona hivyo mpenzi kwani uongo? Ambiele aliniambia upo likizo
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] maneno kuntu hayo jamanNakupenda pia na nakuhitaji pia uwe mwanga wangu, furaha yangu na baba yangu pia[emoji813] [emoji8] kama hutojali
MmmhhKweli??? [emoji24]
Jamaa mbona una mkandia mwanaume mwenzako au shida nin kwan[emoji41][emoji41]Hahaha [emoji23] itakua Amepata mwingine.
Namuonaga sana jukwaaa la love connect