Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Kweli??? [emoji24]Hahaha [emoji23] itakua Amepata mwingine.
Namuonaga sana jukwaaa la love connect
Kweli??? [emoji24]Hahaha [emoji23] itakua Amepata mwingine.
Namuonaga sana jukwaaa la love connect
Pole sana kiongozi.Hazitoshi ila nazihangaikia sipati bure mkuu.
Wao wanapata bure wanatakiwa waridhike na kidogo tunachowapa
Hahaha ulimuweza sanaWashenzi hao, walikuja eneo moja nakula vitu vyangu akanikabizi karatasi lake... nikamuuliza la nini... akasema mchango wa kujenga kanisa..... nikamwambia aache unafki, wakiwa humo makanisani mwao kazi kututukana sisi walevi kwamba tuna zambi na sisi ni mapepo lakini leo anataka mchango wangu..... alinyakua ile karatasi akasepa kimyaaa...
Asante mkuuPole sana kiongozi.
Mali ni za kupita tu.
Asante sana naamini nitakuwa mwenye furahaNakupenda kutoka moyoni. Nayaongea haya nkimaanisha. Nakupenda kweli!
Ndio mkuuKweli??? [emoji24]
KaribuNakagua
Leo zamu yako kukomaaPamoja wakuu, komaeni komaeni.
Njoo kumekuchaJamani mbaki salama
Nakupenda kutoka moyoni. Nayaongea haya nkimaanisha. Nakupenda kweli!
Kho! Kho! Kho! Naombeni maji jamani mwenzenu nimepaliwaAsante sana naamini nitakuwa mwenye furaha
Geti lipi kuwa specific[emoji12] yapo mengiGeti li wazi ingieni tuanze kikao chetu mapema