Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Nisamehe kama umekwazikaNi kweli mama. Ila nimestuka ulivyoniita hey. ..
Nisamehe kama umekwazikaNi kweli mama. Ila nimestuka ulivyoniita hey. ..
bila shaka umemfananisha na huyuView attachment 858517
N saivi wanakazana kuomba michango ya kujenga..... ni balaa...Hahahaha nimecheka mno
Ila serikali ituamishie haya makanisa bora tubaki na misikiti tu
Nalazimisha upendo mkuu.[emoji2]mkuu na wewe mbn hua unachelewesha sana hapo
Hahaha but she keeps on adressing u lovely kama vile "mpenzi" afu wewe unamuita "mkuu"[emoji23]Nalazimisha upendo mkuu.
When you love someone more than she deserve you ending with pain that you don't deserve
Bora umesemaHahaha but she keeps on adressing u lovely kama vile "mpenzi" afu wewe unamuita "mkuu"[emoji23]
So kweli kiongoziHahaha but she keeps on adressing u lovely kama vile "mpenzi" afu wewe ounamuita "mkuu"[emoji23]
Hahahaha. [emoji23] kuna mtu alikuja kuniomb mchango wa jumuiya sjui ndio nini nilimshangaa sana.yani sadaka tunazotoa bado hazitoshiN saivi wanakazana kuomba michango ya kujenga..... ni balaa...
[emoji16]jamaa yetu anatuangusha mnoBora umesema
Nakupenda pia na nakuhitaji pia uwe mwanga wangu, furaha yangu na baba yangu pia[emoji813] [emoji8] kama hutojaliVinci hua hana tatizo Na MTU wala kuweka kinyongo. You are my only ange. I love you & I need you in ma life.
To be my light, happiness and my mother
Pesa unazopata we zinakutosha?Hahahaha. [emoji23] kuna mtu alikuja kuniomb mchango wa jumuiya sjui ndio nini nilimshangaa sana.yani sadaka tunazotoa bado hazitoshi
Angalia hapo juu alivokuita kimahabaSo kweli kiongozi
Sina cha kukupa zaidi ya Upendo Na heshima kama mwanamke wangu aliyeumbwa ajili yangu. NakupendaNakupenda pia na nakuhitaji pia uwe mwanga wangu, furaha yangu na baba yangu pia[emoji813] [emoji8] kama hutojali
Me namuangalia tu siku hizi mapenzi yamepungua[emoji16]jamaa yetu anatuangusha mno
Afu badae analalamika eti hapati mpenzi
Hahaha [emoji23] itakua Amepata mwingine.Me namuangalia tu siku hizi mapenzi yamepungua
Hazitoshi ila nazihangaikia sipati bure mkuu.Pesa unazopata we zinakutosha?
Hahahaha. [emoji23] kuna mtu alikuja kuniomb mchango wa jumuiya sjui ndio nini nilimshangaa sana.yani sadaka tunazotoa bado hazitoshi
Nashukuru kusikia hivyo na maneno hayo yakawe kwa vitendoSina cha kukupa zaidi ya Upendo Na heshima kama mwanamke wangu aliyeumbwa ajili yangu. Nakupenda