Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Karibu tenaLeo naona usingizi umegoma tu mi sinaga cha kunikosesha usingizi hata nikipigwa kibuti Leo usiku ukiingia najikoromea zangu vizuri tu yani
Karibu tenaLeo naona usingizi umegoma tu mi sinaga cha kunikosesha usingizi hata nikipigwa kibuti Leo usiku ukiingia najikoromea zangu vizuri tu yani
Dar mkuuZipo mkuu, upo mkoa gan!?
Ni ujasiri mkubwaInapendeza, hasa kwa mtoto wa kike;
Hii inadhiirisha uu jasiri sana.
wanipenda?Si umeniambia niondoke
Nipo mkoani, ila soon nitaibuka hukoDar mkuu
wewe itakuwa ni lonliness ndo inakufanya uwe machoLeo naona usingizi umegoma tu mi sinaga cha kunikosesha usingizi hata nikipigwa kibuti Leo usiku ukiingia najikoromea zangu vizuri tu yani
movie za kutisha muda huu inabidi uwe umeagana na nyongaNaona mnaangalia movie za kujitisha wenyewe ee
Wewe wajua kuwa nakupendawanipenda?
kiongoz muvi Na muziki ndio burudani yangu ya kwanza hafu anakuja Astelia. ukiibuka mkuu usisite kunicheki kiongoziNipo mkoani, ila soon nitaibuka huko
how deep is your love to me?Wewe wajua kuwa nakupenda
Kumbee mie ni namba 3?kiongoz muvi Na muziki ndio burudani yangu ya kwanza hafu anakuja Astelia. ukiibuka mkuu usisite kunicheki kiongozi
No we no namba 1 kwangu Ila mwanamke pia ni kiburudisho cha mwanaume so katika listing ya viburudisho mwanamke kwangu ni namba 3. Ila ww ni namba moja kwangu coz I love you as my woman not my tool of leisureKumbee mie ni namba 3?
Ooh!! "hajuanielewa nilichomaanisha