Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Najua wanipenda lakini lazima uniweke mimi niwe kiburudisho chako namba moja as your woman .. Ina maana leo hii nikukute unaangalia movie nikusubiri mpaka movie iishe ndo unigeukie mimi kiburudisho namba tatu? Hapana hivyo vyote vya ziadaNo we no namba 1 kwangu Ila mwanamke pia ni kiburudisho cha mwanaume so katika listing ya viburudisho mwanamke kwangu ni namba 3. Ila ww ni namba moja kwangu coz I love you as my woman not my tool of leisure