Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,403
- 31,659
Tayari, ingia ndani kumenoga!Jamani bado tu[emoji23]
Tayari, ingia ndani kumenoga!Jamani bado tu[emoji23]
Bia situmii, kama utaninunulia wine nambie nije hapo chapAmbae yupo Anex Karagwe aje ni mnunulie bia
Vinci mheshimiwa kwema[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Alafu siku moja tuufanye huu usiku uendelee mchana kutwa lindo lisifungwe
Ole wenu mgeuzao usiku kuwa mchana!kwema niko naongea nashemeji yako hapa
Nipo hapa kabisaaTayari, ingia ndani kumenoga!
Maliyangu kwema?Nipo hapa kabisaa
@Thad uchokozi umeuanza lin?Ole wenu mgeuzao usiku kuwa mchana!
Kwema kabisaa sijui wewMaliyangu kwema?
Duuh naona walisahau kufunga langoOle wenu mgeuzao usiku kuwa mchana!
Sijawahi kuchokoza mtu tangu nizaliwe mara ya tatu@Thad uchokozi umeuanza lin?
Nilifunga geti mimi mwenyewe saa 12 asubuhi, nyie mkaruka ukutaDuuh naona walisahau kufunga lango
[emoji23] [emoji23] kamba haikua inaonekanaNilifunga geti mimi mwenyewe saa 12 asubuhi, nyie mkaruka ukuta
Maliyangu kwema?
Kumbe nyie ni mtu na mali yake?[emoji15] [emoji15]Kwema kabisaa sijui wew
Huyo naona amejimilkisha mkuuKumbe nyie ni mtu na mali yake?[emoji15] [emoji15]
Ndo kesha kuwa mtu wako hivyo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo naona amejimilkisha mkuu
Acha uongo bibie,[emoji23] [emoji23] kamba haikua inaonekana
Wallah mnipe zamu kesho hapa nipo kama kuku wa mdondoAcha uongo bibie,
Haya mbona hutukarimu wenzio, au hujui kama leo zamu yako kutuhudumia
[emoji16] [emoji16] so umeamua kutuunganishaNdo kesha kuwa mtu wako hivyo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwenye mali ni mkali wuuiiNdo kesha kuwa mtu wako hivyo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umefungua geti na kuondoka, mbona sikuoni humu ndani?Geti limefunguliwa [emoji23][emoji23]