JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi wapo hapa jirani yangu sasa wanaanza asubuhi mpaka saa moja usiku basi vurugu
Utasikia" piga keleleee" tumuimbie yesu oh thank you jesus oh thank you jesus (usiombe mwanamke aseme haya maneno,ni majaribu unaeza kwenda kuchungulia )

Wanazingua sana.... unakuta mtu una shoo.... af wanakukata stimu na makelele zao
 
Anahusishwa na ulozi
bila shaka umemfananisha na huyu
images(4).jpg
 
Back
Top Bottom