JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

JamiiForums Issues an Official Responce to CCM allegations: (Press Release)

Status
Not open for further replies.
Wakuu!

Members wa JF wengi wameenda Kidogo Shule. Sio wale wa Kuuza kura kwa T-shirts.
Lazima Tuipinge CCM kwa sababu sera ya CCM ni kulinda zaidi maslahi ya Chama kuliko wananchi.

Mimi siamini kila ainayeipinga CCM ni Chadema! mimi Binafsi siikubali kabasi CCM, Lakini mimi sio Chadema.

Hata leo akaja Koffi Annan Kama mwenyekiti wa CCM, Lazima ataonekana hana maana kwasababu ya Sera hii ya kulinda Maslahi ya Chama.

CCM inatakiwa kusoma alama za nyakati. Hiki kizazi Cha wasomi kinaendelea kukua kila kukicha, Hata kule vijijini wanakopata kura kwa kugawa T-shirts, kile kizazi kinapotea sasa.

Ningewashauri CCM wachukue hii kama changamoto wabadilike.

CCM hawalindi maslahi ya chama wanalinda maslahi yao binafsi, wangekuwa wanalinda maslahi ya chama wangetumukia wananchi ili chama kionekane ni bora, lakini sasa wao wanatumikia matumbo yao na kutmia vyombo vya dola ili waendelee kula keki ya nchi hii peke yao
 
Kazi ipo moto uliowashwa Tunisia na Misri umeanza kuchoma Chama Cha Magamba taratiib....:A S clock:
 
Wakuuu na wataalam hii issue na cyber law ina uhusiano gani? Nimeona watu wanataja taja cyber law . Binafsi sio mtaalam sana wa sheria lakini sioni kama uwepo au kutokuwepo kwa cyber law kunaongeza au kunapunguza kitu chochote hapa iwe ni kwa mdai au mdaiwa kama ikitokea kupelekana mahakamni.

Nielimisheni
 
Mswada wa katiba mpya umeonekana una mapungufu makubwa baada ya wadau na washiriki kusema aliyeandaa mswada huwo hajui alichokuwa ana kifanya!! swali langu; huo mswada ulifikaje bungen kabla ya kupita kwa Mwanasheria mkuu na waziri wa sheria na baadaye kwa rais? haiwezekani wate hawa 3 hawakuupitia. Kama ni hivyo hwa wote hawajui wanachokifanya hivyo hawafai kuwa viongozi wa nchi hii!!!!!!!!!!!
 
kama wnaona jamii forum ni ya chadema na wa waanzishe ccm forum kutangaza mabav yao
 
Labda Cyberlaw inaweza kutumika iwapo Taarifa nyingine zinaweza kuhitajika zinazohusiana na watu waliokuwemo ndani ya Mtandao na madai yao kadhaa kwa mfano umetoa tusi kwenye mada fulani au tuhuma za uwongo kuhusu CCM kwenye mada fulani hiyo yote inahusiana na CYBERLAWS kwetu hapa kuna EPOCA na sheria zingine ndogo ndogo ,
 
JF pia ni kuelimishana, naomba nielimishe ili nami nielewe, kina nani na retainer ni nini?.

A retainer is a fee paid to an attorney or other professional in advance, for services.

:an amount of money that you pay to someone (such as a lawyer) to make sure that you will have that person's services when you need them.

Hapa chini maelezo zaidi.

the advance payment to an attorney for services to be performed, intended to insure that the lawyer will represent the client and that the lawyer will be paid at least that amount. Commonly in matters which will involve extensive work there will be a retainer agreement signed by the attorney and client. Further payments for services can be expected as the time spent on the legal matter increases. Most lawyers do not want to be owed money and wish to be paid either in advance or promptly as the work is performed. One reason for the retainer, and the problem a lawyer faces, is that he/she does not want to abandon a client, but at the same time does not want to be stuck with extensive unpaid fees.
Kwa hiyo retainer, kwa maneno yangu mwenyewe ni security deposit unayompa wakili na ambayo kwa uzoefu wangu mimi ni non-refundable. Umeelewa sasa?
 
Zaidi tu hebu tujikumbushe Rais kikwete kadanganywa mara ngapi sembuse hawa wa chini yake hii nchi inatakiwa kazi ifanyike ta ziada..kama kuwataka watu waondoke madarakani hata kwa nguvu.
 
Wakuuu na wataalam hii issue na cyber law ina uhusiano gani? Nimeona watu wanataja taja cyber law . Binafsi sio mtaalam sana wa sheria lakini sioni kama uwepo au kutokuwepo kwa cyber law kunaongeza au kunapunguza kitu chochote hapa iwe ni kwa mdai au mdaiwa kama ikitokea kupelekana mahakamni.

Nielimisheni

How Do U establish Legality ya JF? Inaoperate vipi? Kwa sheria gani? nk
 
How Do U establish Legality ya JF? Inaoperate vipi? Kwa sheria gani? nk

Mhhh kwa issue hii specifi nadhani legality yake ni inaoperate kama linavyoperate gazeti la uhuru mwananchi tz daima. So hata kama haipo cyber law bado jf ni legal. Its a community driven news and dicussion organisation

Cyber law nadhani sana sana inawekwa kudeal na mambo ya specific crime lakini hapa issue hii ya msekwa ni madai. Na haya madai sioni kama yana uhusiano na cyber law

that is my view
 
Naomba muongozo je kuna hatua gani za kuwashtaki hawa chama cha magamba zaweza chukuliwa kutokana na uzushi wao uliotusababishia usumbufu na upotoshaji kwa jamii. Tuwashtaki tuwadai senti ishirini hawa
 
Hatuna Mwanasheria Mkuu! Ni huyu aliyesema hakuna haja ya katiba, na ni huyu alisikika akilalamika bungeni kuwa hakushirikishwa kuandaa mswaada! Mimi nilidhani ofisi yake ndio inayoandaa au kupitia miswada ya serikali. Au hakujishikisha? Mtu huyu akishanganywa na Celina Kombani, waziri wa sheria, ni utata mtupu. Na huyu akiwa ana siku moja tu ofisini, alidai hakuna kabisa haja ya katiba mpya, lakini baada ya siku kadhaa, akasema alikuwa anatania tu! Yaani wamekuwa Consistently inconsistency!
 
JamiiForums is more than politics, we dare to talk openly hata kama mtu huwezi kuongea matatizo ya ndani na mke wako, ukifika hapa unajianika bila kuona aibu. Kuna jukwaa nyingi hapa, Msekwa kaona jukwa la siasa tu? He has to prove that JF niya CDM otherwise aombe msamaha kwani ni kiongozi wa kitaifa kupitia chama chake.
WanaJF, kwangu mimi binafsi sitishiki wala sitaacha kusema ukweli ninapoona watu na uwezo wao wanashindwa kuweka misingi mizuri ya taifa hili kwa ajili ya vizazi vijazyo. Ni ukale kuendelea kujinufaisha/kujinemeesha kwa kikundi kidogo badala ya kufanya kitu kwa manufaa ya taifa letu. CCM fanyeni kazi ili tusonge mbele kama taifa si kulalama kila wakati.
 
Kwa taaluma yake ni Mwanasheria,Ila kwa kutumika anatumika vibaya badala ya matazamio ya Watanzania wengi kufikiri atatutetea iwe ni kwa mikataba ya aina mbalimbali au kesi zinazofunguliwa juu ya Serikali,imekuwa kinyume sbb kesi ya Dowans kuishitaki Tanesco(Serikali),aliwahi kusema Dowans walipwe,mkubwa wake raisi wa ccm JK akasema wasilipwe tayari mpaka hapo ni mkanganyiko wa sisi wananchi kutokuwa na imani nae juu ya utendaji wake.Juzi Kati hapa kamwambia Tindu Lisu na Watanzania wote(wananchi masikini)kuwa muda wa kufanyia mabadiliko sheria ya usimamizi wa maadili ya mahakama ni BADO.Yapo yatakayotokea mengine tusubiri tuone.Ila la yeye kujitokeza huku JF sidhani Kama atafanya hivyo na Kama atakuwa jasiri na kujitokeza humu "atatudanganya"
 
Serikali yote, sekretarieti na wakuu wa Chama Cha Magamba wapo humu jamvini .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom