min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,889
- 165,864
Wamenasa pesa ndefu mkuu ,pesa haijawahi kumwacha mtu salamaWasukuma wa siku hizi sijui wamekuwaje, wanaleta sifa kama za wahaya...
Tulishazoea kwamba wasukuma hawana mambo mengi.
Wamenasa pesa ndefu mkuu ,pesa haijawahi kumwacha mtu salamaWasukuma wa siku hizi sijui wamekuwaje, wanaleta sifa kama za wahaya...
Tulishazoea kwamba wasukuma hawana mambo mengi.
Heiyee ila nakisikia ila kuongea ukiacha salamu ni mtihani, huwa najisikia msaliti kwa kutojua vizur lugha yetuKwani na we wi mzigula..?
Kawaida tu mkuu ukikulia sehem tofauti na nyumban weweza kua mzigua ila unajua kuzungumza kisukumaHeiyee ila nakisikia ila kuongea ukiacha salamu ni mtihani, huwa najisikia msaliti kwa kutojua vizur lugha yetu
Ni sahihi kabisa ndugu yangu, tupo pamojaKawaida tu mkuu ukikulia sehem tofauti na nyumban weweza kua mzigua ila unajua kuzungumza kisukuma
Tatizo la kwanza la uzi ni kufikiria wanachopenda Wasukuma wengi na yeye mleta mada ndicho wanachopenda na kukipa umuhimu Wazaramo, Wakwere, Wachaga, Wamasai, Wanyakyusa wengi n.k.Yeah wanaweza kuwa na sifa zao nzuri za kipekee ambazo ni ngumu kupata kwingine
Hao jamaa sio kabisa mkuu.Wanafaa huo mkoa wabaki wenyewe ukikaa vibaya wanakuchomoa roho hivi hivi unajiona.Huyu jamaa na promethus walikuwa wote wana yao kuhusu wanyaki..
Sasa walipokutana humu wakaona 'no sweat' kwanini wasitoe ya moyoni..
AsanteNimekupa ushindi
Ndio maana tumetaja baadhi ya makabila mengine pia yenye sifa zinazoonekana ni nzuri huko juu.Tatizo kwa kwanza la uzi ni kufikiria wanachopenda Wasukuma na yeye mleta mada ndicho wanachopenda Wazaramo, Wakwere, Wachaga, Wamasai, Wanyakyusa wengi n.k.
Hata hivyo hakuna sifa ya kipekee inayopatikana kwa kabila moja la Wabantu ikawa vigumu kuipata kwenye makabila mengine ya kibantu.
🤣🤣Hao jamaa sio kabisa mkuu.Wanafaa huo mkoa wabaki wenyewe ukikaa vibaya wanakuchomoa roho hivi hivi unajiona.
Sijaandika kwa chuki hawa watu wabadilike.
KUna situation nilisababishiwa na haya majamaa kidogo nivute kamba,nashukuru Mungu ni mwaminifu kanipigia mno.
Ng'ombe 40 kwa mmoja ni thamani gani?hawa wasukuma tabora mabint walio tunzwa, hapo kumtoa kwao andaa ng'ombez 40.
Wengi mabikra
Pole sana..Hao jamaa sio kabisa mkuu.Wanafaa huo mkoa wabaki wenyewe ukikaa vibaya wanakuchomoa roho hivi hivi unajiona.
Sijaandika kwa chuki hawa watu wabadilike.
KUna situation nilisababishiwa na haya majamaa kidogo nivute kamba,nashukuru Mungu ni mwaminifu kanipigia mno.
Wamewafanya nini mkuu😅 hizo niliona wanaongelewa wachaga mbonaPale wanyakyusa wakila parachichi za kuchemsha
View attachment 3632478View attachment 3632479View attachment 3632480View attachment 3632481View attachment 3632483View attachment 3632484
Wanapokea kuanzia wa laki 4 wale ndama, lakin hao ndama wasiwe zaidi ya 20% yaani katika ng'ombe 40 basi ndama wasizidi 10, wengine wote wawe ni wale Laki 8 hadi 1M +Ng'ombe 40 kwa mmoja ni thamani gani?
Duh aisee si mtaji kabisa huoWanapokea kuanzia wa laki 4 wale ndama, lakin hao ndama wasiwe zaidi ya 20% yaani katika ng'ombe 40 basi ndama wasizidi 10, wengine wote wawe ni wale Laki 8 hadi 1M +
Kuna stori moja ya kweli kabisa,Wamewafanya nini mkuu😅 hizo niliona wanaongelewa wachaga mbona
Weka picha kadhaa tufanye tathminihapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
Vitu vzur vina gharamiwa, wasukuma ni asset..Duh aisee si mtaji kabisa huo
Dah , hivi kuna namna kwenye biashara wana wivu fulani wa kijanga? Kuna kitu nataka nifanye uchunguzi mkuu🤔Kuna stori moja ya kweli kabisa,
Kuna kabila 1 wanaitwa Wamalila kule mbeya, ni wachache sana na kule kuna kuna wanawake wazuri lakin wanyakyusa hawawapendi balaa, kosa mnyakyusa amuone mmalila hapo hapo anaanzisha discussion...
Na katika History ni kwamba Waliwafukuza kwa inavyosemekana