Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,364
- 85,530
Bhana ba mjini!🙌🏾Sijui kilugha mimi
Bhana ba mjini!🙌🏾Sijui kilugha mimi
Bei millioni 2 kwa kila mmoja hakuna punguzoMkuu,nikichukua wote,bei inapungua?
Katesh na hydom kwa madesirii kupata ni ngumu kuliko kuonyesha matiti ya nyokaHaya mambo ni ntu na ntu. Mjaluo aliyepata mke mwema toka Hydom, Katesh, Malendi au Misigiri hawezi kubaliana na wewe hata kidogo.
Kila mmoja ashukuru kwa kile alichojaliwa iwe mke au mme maana huyu ndio the best for you hata kama anakukwida kila siku.
Hao sio wale wanaokuchomoa roho?Kama wanawake wa Rwanda wa Kitusi ni type zako unazozipenda.
Roho unachomolewa na yeyote tu.Hao sio wale wanaokuchomoa roho?
Kabisa, huo ndiyo bhukweli 💯🔥🔥🔥
Kabisa mayu, mapungufu kwa mwanadamu hayakosekani, huwezi kupata malaika lakini, bhanike bhenabo bale na nafuu kabisa!
hapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
Stori bado zipo pale pale, ila akija huyu wa kokaya (wa nyumbani) lazima nimsemeshe kinyumbani kidogo 🤣🤣Tupo wawili tunapiga stori na nimarafiki tumeshibana ila akija tu Seran tena ni mgeni mnanitenga na kuanza kilugha chenu😅
Binti na wewe ni Msukuma?Kabisa, huo ndiyo bhukweli 💯
Mkuu, nikikutukana kisukuma hapa utaahirisha kutafuta huyo mwanamke wa usukumani, ngoja nikuache tu ntumbafu bhebhe 🤣🤣ghutombana bebe 😌
Ushirikina sasa halafu hawana diniMimi nimeoa msukuma mwenzangu naenjoy balaa mapenz moto moto
Huo ushamba na upuuzi wako baki nao huko, umejaa ukabila wanawake gani hao ambao ni tofauti na makabila mengine?hapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
Labda awe bikra ila sio alietumika nitoe hivyoVitu vzur vina gharamiwa, wasukuma ni asset..
Lakin pia nahisi wasukuma wana utaratibu wa ku return fund kama mke akizingua kuna asilimia kubwa tu zaidi ya 70 unarudishiwa
Mnyamwezi 🥰Binti na wewe ni Msukuma?
Wengi wao wanakuwag bikra,Labda awe bikra ila sio alietumika nitoe hivyo
Lakin wale ambao ni kuku wa shamba, sio msukuma wa Katoro, mwanza au kahama 😂Labda awe bikra ila sio alietumika nitoe hivyo
Aisee kama wapo hivyo sio vibaya hakuna kitu kinauma kama kutozwa pesa nyingi na mtu usedWengi wao wanakuwag bikra,
Kwahiyo kama machimbo yapiLakin wale ambao ni kuku wa shamba, sio msukuma wa Katoro, mwanza au kahama 😂