Jackson matthew
Senior Member
- Jun 26, 2026
- 122
- 280
hapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
msukuma wa ntunzu au keya? Mkuu nipe mwongozoMimi nimeoa msukuma mwenzangu naenjoy balaa mapenz moto moto
Ni wazuri..Wazuri kwa kigezo gani!
Ila kuna twingine tuna kishimbe mno.Wana heshima sana na upendo kwa waume zao
Ukijibiwa nitag mkuu.Wazuri kwa kigezo gani!
Seriously!, kwamba haya maelezo ndo yanathibitisha uzuri wa wanawake wa kisukuma!Ni wazuri..
Unamuonaje Kajala Masanja..
Wanawake wa kisukuma nyash ipo..
Wana maumbo mazuri..Seriously!, kwamba haya maelezo ndo yanathibitisha uzuri wa wanawake wa kisukuma!
Uzuri unatofautiana..Wasu+**** wazuri eh bado hujatembea. tembea kisha uje ujikosoe mwenyewe hapa
mapenzi ya kwel sio kama wachagaWazuri kwa kigezo gani!
Tuwekee picha na bei mkuu.
Usiwaite wenzako Vitu Acha uhuni bhn 😂hapa nazungumzia wasukuma hamna kabila lenye wadada wazuri kama hili.kwa hiyo masela karibun mwanza muone vitu vya hatari.
ukija kuoa usukuman kama ni binti andaa million 1 had 2 hapo.Tuwekee picha na bei mkuu.