Eheeee 😂 mda ule mshikaj anamega ugal na kijiko wakat huo anapasha parachichi bichi et ili liwahi kuiva 😂 anakwmbia bora mzulumu mashamba ila sio parachichiNasikia mwanamke wa kinyakyusa akiona parachichi hadi vinyweleo vya mwili vinasimama..anapata goosebumps..
Wanyalu ni mashine... labda kwenye tabia ndipo watu wanakosoa sana..Bwashee vipi kuhusu wanyalu / wahehe?
Dah ila mmewapelekea moto sana😅Eheeee 😂 mda ule mshikaj anamega ugal na kijiko wakat huo anapasha parachichi bichi et ili liwahi kuiva 😂 anakwmbia bora mzulumu mashamba ila sio parachichi
🤣🤣🤣🤣Eheeee 😂 mda ule mshikaj anamega ugal na kijiko wakat huo anapasha parachichi bichi et ili liwahi kuiva 😂 anakwmbia bora mzulumu mashamba ila sio parachichi
Rudia kusoma alichoandika.Mkuu mleta mada hakuwa na nia mbaya na makabila mengine sijui kwanini mmekuja kumuatack, kachagua kabila moja kaliongelea kutokana na experience yake nyie mnaanzisha mashindano! Mbona kaeleweka vizuri tu maleta contradictions zisizo namaana hapa! Nyie mliotembea dunia nzima kaanizsheni mada kuweka mambo sawa, muacheni ajivunie anachokijua tu
Cc: Latent chaos
Huyu jamaa na promethus walikuwa wote wana yao kuhusu wanyaki..Dah ila mmewapelekea moto sana😅
Nimekupa ushindiRudia kusoma alichoandika.
Nasikia asubuhi parachichi wanakunywa na chai..Eheeee 😂 mda ule mshikaj anamega ugal na kijiko wakat huo anapasha parachichi bichi et ili liwahi kuiva 😂 anakwmbia bora mzulumu mashamba ila sio parachichi
Kwani na we wi mzigula..?Ngoja niwatafsirie umesema Huku kwetu wazigua ni namba moja
Hatar, ndio maan wanawake wanyakyusa wana shape za kuelewek, lakn suala la kujipodoa kwao sijawah kuona kwakwel, vyuma vina color fulani black og...Nasikia asubuhi parachichi wanakunywa na chai..
Shepu la kueleweka kivip?Hatar, ndio maan wanawake wanyakyusa wana shape za kuelewek, lakn suala la kujipodoa kwao sijawah kuona kwakwel, vyuma vina color fulani black og...
8Shepu la kueleweka kivip?
Kwa ule ulaji wao sidhani🤔