Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,311
- 85,389
Anaye tena katulia balaa ana aibu huyo kazuri shape fulani hivi kanajistiri! Ila ndoivyo ujipange haswaa!Huyo mke wa jamaa hana mdogo wake,ninyooshe mambo chap
Anaye tena katulia balaa ana aibu huyo kazuri shape fulani hivi kanajistiri! Ila ndoivyo ujipange haswaa!Huyo mke wa jamaa hana mdogo wake,ninyooshe mambo chap
Ngoja niwatafsirie umesema Huku kwetu wazigua ni namba mojaWazigula kuno kwetu nnamba mwenga
Wana maajabu gani?Bado hujatembea,njoo kigoma ujionee maajabu ya waha.
Kujipanga kwa mahari au kwa tabia nzuriAnaye tena katulia balaa ana aibu huyo kazuri shaoe fulani hivi kanajistiri! Ila ndoivyo ujipange haswaa!
Pm ipi?Hizi sifa unazozitaja zitawashawishi watu waje pm ujue
Na ukioa ukapelek mjini ujue kila skukuu unawageni kutoka ndugu wa kanda mbali mbali na wanafanya booking mapema 😂hahahaha unaoa tu bwashe, kwan wale wapo kijijn ukimleta bint yao mjin wew watakuona kama unamaisha bora sana ata kawa una single room
Ya msukumaPm ipi?
🤣🤣Oya wanyakyusa wachawi kinoma, sema uzuri wanalogana wao kwa wao...
Utaskia wanaongea kilugha mbele yako ujue wanakusema utaishia kuskia mwee mwee😂
Mkuu mleta mada hakuwa na nia mbaya na makabila mengine sijui kwanini mmekuja kumuatack, kachagua kabila moja kaliongelea kutokana na experience yake nyie mnaanzisha mashindano! Mbona kaeleweka vizuri tu maleta contradictions zisizo namaana hapa! Nyie mliotembea dunia nzima kaanizsheni mada kuweka mambo sawa, muacheni ajivunie anachokijua tuBado hajatembea, aje Tabora ujionee maajabu ya Wanyamwezi, aje Singida ajioone maajabu ya Wanyaturu na Wanyiramba, aje Arusha na Manyara ajionee maajabu ya Warangi na Wambulu.
Nimeshangaa sana wazigua kutajwa😅Ngoja niwatafsirie umesema Huku kwetu wazigua ni namba moja
Aisee unamjaza hasira sana promethus atazidi kumwaga moto.. halafu kutatokea ugomvi hapa maana baharia anamwaga moto hadi kwa wanaume wa kinyakyusa..Oya wanyakyusa wachawi kinoma, sema uzuri wanalogana wao kwa wao...
Utaskia wanaongea kilugha mbele yako ujue wanakusema utaishia kuskia mwee mwee😂
Kuchukua mke alotulia kwa wasukuma sio mchezo mchezo, hawana mambo ya usasa!Kujipanga kwa mahari au kwa tabia nzuri
Umeiona wapi wewe?Ya msukuma
Mi mwenyewe mzigua lakini sikubaliani kwamba wanawake wa kizigua ni namba mojaNimeshangaa sana wazigua kutajwa😅
mwanamke mzuri kwangu ni yule nikiloweka inabana. Tabia,sura,urefu na ufupi ni majaaliwa ya Allah, waha wapewe maua yao.Wana maajabu gani?
🤣🤣 dah akija kubisha nachomoa betri hapaMi mwenyewe mzigua lakini sikubaliani kwamba wanawake wa kizigua ni namba moja
Apan, sema wanaznguaAisee unamjaza hasira sana promethus atazidi kumwaga moto.. halafu kutatokea ugomvi hapa maana baharia anamwaga moto hadi kwa wanaume wa kinyakyusa..
Hongera!mwanamke mzuri kwangu ni yule nikiloweka inabana. Tabia,sura,urefu na ufupi ni majaaliwa ya Allah, waha wapewe maua yao.
Nasikia mwanamke wa kinyakyusa akiona parachichi hadi vinyweleo vya mwili vinasimama..anapata goosebumps..Apan, sema wanazngua
Sku 1 tumepoa geto kwa mshikaj tukatoa kitu ugali wa kula mtu 5, af imagine mshikaj mnyakyusa anakula ugali na kijiko Tabia gani hiyo mzee ??
Mtu anamega ugal na kijiko, mboga anachot na kijiko... Ila wanyakyusa 😂😂😂