Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

Jamii yetu ina wake bora wa kuoa!

So far kinachoendelea hapa ni kwamba kila mtu anaongea kwa experience yake pia. Neno moja au mawili kama 'binafsi' au 'kwa mtazamo wangu' yangeondoa mjadala wote huu, kwa sababu yangeonyesha wazi kuwa ni experience yake, sio ukweli ambalo ni lazima kila mtu akubali. Otherwise naomba unipe ABC za kupata msukuma na mimi nipate hiyo experience kidogo.
Hahaha ongea vizuri na mleta mada atakupa connection
 
Pole sana..
Lakini umejumuisha wote..
Mbona huwa naona wanapenda sana kwenda kanisani na masuala ya ibada..
Nmeteleza nmeingia kwenye mtego wa kugeneralize.
Sio wote wapo hivyo wapo wema,wakarimu,wakweli na wenye misimamo.

Lkn usiombe ukutane na hao toxic people hawafai hta kidogo
Hawapendi mgeni afanikiwe kwa namna yoyote ile ,uchonganishi makundi ,majungu na umbea ndo mahali pake.
 
Haya mambo ni ntu na ntu. Mjaluo aliyepata mke mwema toka Hydom, Katesh, Malendi au Misigiri hawezi kubaliana na wewe hata kidogo.

Kila mmoja ashukuru kwa kile alichojaliwa iwe mke au mme maana huyu ndio the best for you hata kama anakukwida kila siku.
 
Hapa umeongea ukweli fulani, kuna kitu nilikua nakifuatilia nimekipata hapa
 
Back
Top Bottom