100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,178
- 36,371
Si ndipo nashangaa hawa washamba wa Dar , ujue mtu akiishi Dar anajihisi ye ni mjanja kumbe mshamba tu...Bwashee, hapo mwanza kuna fimbo za kisukuma za moto, zina mashepu na hips za kuvunja chaga halafu zimepanda hewani
Watu wanafanya kufuru huko katoro vijijini hawa wenzangu tuliopo Dar tumebakia kusema tu 'tunaishi Dar'.
Huo pia ni ushamba... vijana baadhi wa Dar huwa ni washamba halafu bad thing hawaelewi kama ni washamba..