Basi waacheni wakae nyumbani binti zenuKwani kusoma lazima ? Au unasoma ili iweje ?
Hapo hujaongelea aina ya watoto wanaofyatuliwa bila malezi bora. Kizazi cha wasiojitambua for sure.Haya ni mabadiliko ya dunia, huwezi kwenda tofauti na dunia inavyotaka kwa wakati wake. Kuna zama hata mwanamke alikuwa hahesabiwi kwenye sensa ya watu, kuna nyakati mwanamke alikuwa hapigi hata kura kumchagua kiongozi anayemtaka.
Dunia imeenda hadi tumefikia nyakati ambazo mwanamke anasimama na mwanaume kwenye top contention na akashinda, it's the world's changes that we cannot do anything about it.
Na tulipofikia inakuwa ngumu sana kufanya balancing katika kutafuta pesa na kulea watoto, mwanamke anataka azisake na hata azipate kuliko mumewe, worst scenario ni kwamba atakachopata anasema no chake kwa ajili yake.
Yapo mengi sana mkuu, naamini mengine mengi yameongelewa na wenzangu. Kuna single parenting, wazazi kutofanya wajibu wao, nk.Hapo hujaongelea aina ya watoto wanaofyatuliwa bila malezi bora. Kizazi cha wasiojitambua for sure.
Kweli mkuu hii mechi ni ngumu ngoja tukae pembeni tuifuatilie..Mtifuano wa hapa siuwezi
Mkuu unawajua kwani nje ya hapa jukwaani?topic za Lizarazu , Nyenyere , Carlos The Jackal , Jokajeusi wote hawa hawajui upendo wa mama..mnajihangaisha bure..lol. ……………..
Mkuu, hivi ulaya na Marekani kuna 50/50 kwenye uongozi?Samahani!
Naomba kutanabaisha ya kuwa mfumo jike umeasisiwa kwa ajiri ya bara Afrika na sababu kubwa ikiwa ni sehemu yenye mwanamke basi ni rahisi.
Ndio sababu kubwa ya Feminism kuwepo ili kuweza kutawala na kuendesha ukoloni mambo leo.
Sehemu yenye Mwanamke katu haitoweza kuendelea, kustahimili wala kuonesha ustawi.
KUMB NO 2015-2019/ Uingeleza chini ya mwanamke imejikuta kuwa dhaifu, na hali mbaya kitaifa na diplomasia.
Kumbukumbu zikufikishe hadi Brazil miaka michache iliyopita utaweza kupata taswira halisi. Wala usiishie hapo fika Macao au Tansania (Katika Wizara baadhi) hasa ya elimu utagundua ni makosa dunia inafanya.
Kwangu mimi mwanamke hana kitu anakosa au kukoseshwa cha kufanya akandamizwe mwanamume na kupandishwa yeye. Na kwangu mimi Mwanamke hatokuwa na nafasi hadi umauti.
Sifahamu katika hilo lakini kwa uelewa hakuna propaganda na kelele za 50/50 katika suala hilo.Mkuu, hivi ulaya na Marekani kuna 50/50 kwenye uongozi?
KabisaMimi sio muandishi mzuri lakini napenda nichangie kwa kusema miongoni mwa mada ambazo zimenigusa ni hii, na mimi ni muhanga wa mfumo huu ulioasisiwa huko Beijing nchini China wakiwiita haki sawa kati ya mwanamke na mwanume, nimesoma wachangiaji wengi kiukweli ninawaunga mkono. Jamii yetu imeingia kwenye shida kubwa ikiamini kumuelimisha mtoto wa kike ndio suluhisho la kuondokana na kunyanyaswa, kudhurumiwa, kuonewa na mengine yanayofanana na hayo.
Lakini matokeo yake Jamii imejaza wanawake wenye kiburi na jeuri kwa sababu tu wanaamini kupitia elimu (kazi) zao wanaweza kufanya wanachokitaka wao hivyo ile heshima ya mwanamke kwa mwanume haipo tena.
Pia mmomonyoko wa maadili kwa watoto umekuwa mkubwa kwani malezi ya wazazi hayapo tena zaidi ya kutegemea wasichana wa kazi kwa wale walioko majumbani lakini pia kutegemea walimu na walezi walioko mashuleni hususani kwenye shule za boarding.
Hii inaendelea kutengeneza wanawake ambao sio wife materials kwani unaweza kuta mtoto wa kike mpaka anafika form4 hajui hata kupika wala kufua nguo zake kwakuwa tayari ameshajengewa mfumo wa kuwa yeye ni mtafutaji na sio mtu wa kufanya kazi fulani, kwakuwa muda wote huo majukumu ama kazi alizopaswa kufanya km mtoto wa kike zinafaywa na walezi a wapo shuleni ama mdada wa kazi a wapo nyumbani.
Inasikitisha sana kuona Jamii yetu inapotea huku tukiendelea kupiga makofi kwa kuimba wimbo wa haki sawa, tuombe neema ya Mungu watu wapate ufunuo kufunuliwa juu ya angamizo hili. Mwenye masikio na asikie.
Ni kweli ulichosema awali mkuu, huu ni upuuzi tulioletewa na mataifa ya magharibi ili kurahisisha kututawala. Kwao hakuna kitu kama hicho ila Afrika ndio imetakiwa kuwa na ujinga huo. Mambo kama viti maalum yanakera sana, ni kujaribu kumwinua mwanamke kwenye nafasi ambazo wengi wao hata hawazimudu.Sifahamu katika hilo lakini kwa uelewa hakuna propaganda na kelele za 50/50 katika suala hilo.
Umetaja viti maalumu umenigusa sana mkuu, hii kitu inafaida gani kwa taifa tena kwa taifa ambalo tunajiita masikini, tunatengeneza viti maalumu ili tuendelee kuwa masikini maana hivyo viti vinakaliwa na watu ambao ni chaguo la watu fulani either wenye maslahi nao kwa namna moja ama nyingine.Ni kweli ulichosema awali mkuu, huu ni upuuzi tulioletewa na mataifa ya magharibi ili kurahisisha kututawala. Kwao hakuna kitu kama hicho ila Afrika ndio imetakiwa kuwa na ujinga huo. Mambo kama viti maalum yanakera sana, ni kujaribu kumwinua mwanamke kwenye nafasi ambazo wengi wao hata hawazimudu.
Yaani ni mkakati wa hovyo kwelikweli, kwa wazungu hakuna upuuzi huu.Umetaja viti maalumu umenigusa sana mkuu, hii kitu inafaida gani kwa taifa tena kwa taifa ambalo tunajiita masikini, tunatengeneza viti maalumu ili tuendelee kuwa masikini maana hivyo viti vinakaliwa na watu ambao ni chaguo la watu fulani either wenye maslahi nao kwa namna moja ama nyingine.
Leo hii upendeleo kwa mwanamke umeingizwa hadi kwenye mifumo ya elimu ufaulu wa mwanamke unapewa nafasi ya juu hata km uwezo wake hauendani na ufaulu huo, mathalani mwanafunzi wa kike akifikisha alama fulani anaweza kuchaguliwa kuendelea na hatua za juu lkn kwa alama hizo hizo mwanaume anaambiwa hajafikia kiwango cha ufaulu. Hii inamaanisha ile point ya kumnyang,anya mwanamke nafasi yake inaonekana dhahiri maana analazimishwa kupewa ama kuwekwa kwenye nafasi ambayo sio ya kwake.
All in all ukweli utabaki pale pale mpango wa uumbaji wa mwanadamu haukuwa na makosa kupitia vitabu vya imani alianza kuumbwa mwanaume na kwa kupitia huyo akapatikana mwanamke, lkn leo hii jamii imekuja na mpango tofauti hata na uumbaji asee.
Hapawezi kuwa na usawa kati ya mwanaume na mwanamke maisha yakaenda....
Wamama na wadada tunaweza kuwa na haki sawa ya kupata huduma za kijamii kama elimu, ajira, biashara, burudani etc lakini hatuwezi kuwa sawasawa na wanaume wala wanaume hawaezi kuwa sawa na wanawake kwani kila mmoja ana majukumu ambayo aliumbiwa
Kwenye imani zetu tumejifunza toka awali kabisa kwenye uumbaji mwanaume ni nani na mwanamke ni nani pamoja na majukumu yao. Pia desturi zetu hazikua mbali na imani zetu kuhusu hili.
Mambo yale ya Beijing tuyaache Beijing, sisi tuishi kwa asili yetu binadamu ilivyo na pia miongozo ya imani zetu
Maoni yangu binafsi
Pole,mtoto anahitaji mapenzi ya baba na mama,
bond husaidia mtoto ajifunze social skills.
..mtoto aweze kuinteract na both men and women#
,sasa nyie mliolelewa mama akiwa 'kijakazi' na baba akiwa na Authoritarian Personality
huwa mna difficulties ikija relationship na wanawake……
..sitashangaa nyie watu mkiwa bado singles au mahusiano yenu yana walakini..lol...
kupiga kelele wanawake wasome na wafanye kazi sio u feminist..
These are demands put by our environment...
simply mtu mmoja hawezi kuprovide kila kitu
inabidi tusaidiane,
sasa kusaidiana huko kusiishie kwenye bills peke yake
na majukumu ya nyumbani pia...
nyie mliolelewa kwenye familia mnazodai hazikua za kifeminist..
mtapata tabu sana.
simply wanawake 'mliojijengea' picha vichwani mwenu..hawa exist in this modern world...
mnawatafuta 'mama' zenu katika relationship zenu..??
hamjui zama zimechange??
No wonder mnakuja na topics wanawake wamepokwa na jamii...
Wanawake wapo,ila mnasearch in the wrong fields...
Due to changes in the environment, our ancestors had to move from one place to the other...
Demands put by our environment,means both of us need to work..
ni hivyooo
NI KWELI MKUU!!!Kama kila mtu atasimama na kuitambua nafasi yake kwenye jamii hamna wazo wala fikra za utumwa kwenye ndoa hilijambo lazima watu walione.
Mimi Nadhani hata kumuita Kiazi mbatata umempa heshima sana ambayo hastahili kuwa nayo. Kiazi mbatata ni chakula chenye manufaa mengi sana mwilini, usilinganishe chakula hiki na vitu vya kipuuzi kabisa.
Huyo ni kokwa la embe tena tena lile ambalo limeshaanza kuoza kiini chake kiasi kwamba halina matumizi tena kwenye uso wa hii dunia.