Jamii imempora mwanamke nafasi yake

Jamii imempora mwanamke nafasi yake

Wanawake unganeni tu na bahati bukuku aliesema suruhisho la ndoa ni yesu pekee, maana dunia ilijaribu ikarudi na haki sawa haki sawa ndo imewafikisha hapa sasa yaani ni mapigo matupu ndoa hakuna, pesa zenyewe wengi mnatafuta kwa kudanga, ukimwi upo juu kwenu, wanaume mnaibiana, watoto wanawashinda kuwalea, single mother mnazidi kuwa wengi, wanaume nao tunazidi kuwakwepa. Jamanii haki sawa ni jinamizi halitawacha salaam.


Mtoa maada na ungana na wewe ukiangalia historia ya mfumo wa elimu mara ya kwanza wanawake walikua na elimu yao ya kuweza kufanya mambo yao kama vile kulea watoto ambayo naweza nikaifananisha na form 4.


Hafu wengi wanasema ukisoma unaolewa chapu ni kweli kwa sasa lakini wanaume walioowa wasomi tena wenye vipato mrejesho wao tunaupata sawia. Yanao wakuta ni siri yao
 
Back
Top Bottom