Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Mh! Mizigo, neema za allah. Mi napenda sana hawa. Sio napenda kuwaona kwenye picha au tivii! Ahaaa mi napenda tu, si unajua neema za allah sheikh.
Mi napenda hii hii mizigo ya kibantu iliyojazwajazwa neema za mwenyezi Mungu, we kama unapenda wembamba we penda tu, mi labda itokee tu.

Eti labda itokee kwa Bahati mbaya...umenichekesha
 
Mh! Mizigo, neema za allah. Mi napenda sana hawa. Sio napenda kuwaona kwenye picha au tivii! Ahaaa mi napenda tu, si unajua neema za allah sheikh.
Mi napenda hii hii mizigo ya kibantu iliyojazwajazwa neema za mwenyezi Mungu, we kama unapenda wembamba we penda tu, mi labda itokee tu.
haaaa haaa irushe hiyo clip nishawahi kuisikia mahali pls irushe
 
E.Mbasha anafaa atafuti wakili aliyetulia,na aweza Female.

Lakini sivibaya na hawajamaa nao wakaokoa jahazi kama kweli uwepo wa hii chama ni kwa malengo tajwa,na hasa kujiridhisha kuwa katika sakata hili hakuna mizengwe /kuwa Tukio ni la kutengenezwa
.

MALENGO NA KAZI ZETU

TAMRA itakuwa na malengo kama ifuatavyo:-

(1) Kupigania Haki za mwanaume katika masuala mbalimbali ikiwamemo kulinda na kuidumkisha ndoa.
(2) Kulinda Haki ya mwanaume ngazi ya familia ,kitaifa na kimataifa.
(3) Kuelimisha waathirika wa unyanyasaji
(4) Kutoa msaada wa kisheria.
(5) Kutoa elimu ya Afya na malezi ya mototo wa kiume ili akue katika maadili yanayozingatia haki sawa kwa wote bila.
(6) Kutoa elimu juu ya magonjwa yasiyokuwa na tiba ikiwamo Ukimwi (HIV/AIDS).
(7) Kutoa elimu na mafunzo kwa wanamme ili kuwafundisha ujasiria mali kuondoa utegemezi.
(8) Kufanya upatanishi na usuluhishi kwa wanandoa.
(9) Kutoa elimu kwa wanaume kukubali mabadiliko ya mwili kufuatana na umri kuwa mkubwa kati ya mwanamme au mwanamke.
(10) Kutoa mawakili wa chama kwenda mahakamani kutetea wanaume walio na kesi kutokana na na vitendo vya unyanyasaji ili kuhakikisha haki inatendeka kwa mujibu wa kanuni, taratibu na sheria za nchi bila kuathiri haki za binadamu.
(11) Kudumisha amani ya nchi.
(12) Kulinda Haki za kila raia bila kujali itikadi za dini, rangi, kabila jinsia na taifa.
(13) Kusimamia na kulinda mazingira, elimu ya uraia.
(14) Kushirikiana na serikali na taasisi mbalimbali za kimataifa katika siku ya mwanamme Duniani ikiwemo kuandaa sherehe hiyo kitaifa na kimataifa.
(15) Kutoa misaada kwa makundi ya wasiojiweza yatima, wazee,wagonjwa ,wakimbizi majeruhi wa ajari, majanga kama njaa,mafuriko, shule au kujenga majengo ya kutoa huduma za afya na elimu kulinda na kutunza mazingira kuangalia chaguzi ndani na nje ya Tanzania.
 
Duuuh...@sijajua wanatumia logic gan hapo kumwambia mbasha kambaka huyu bidada..!! Mbona mkubwaa hivi..??


lè mè
 
siyo mara tatu tu watu wanabakwa hata mara ishirini na bado wanaumia tu na siri zao mioyoni,kuna cases nyingi tu ambazo wanawake hubakwa na hunyamaza either kwa kumwogopa mbakaji au kukosa ujasiri wa kushtaki

tatizo ni kwamba wabakaji huwatishia maisha ikiwa watatoa siri, kama alivyofanya mbasha kwa shemejiye.
 
Hakuna tatizo, umri wa kuolewa Tanzania ni miaka 14

...kuolewa kwa ridhaa ya wazaziwe. lakini kesi ya mbasha ni ya UBAKAJI, sio ya UOAJI! usijaribu kufananisha mlima na kichuguu au tembo na sungura!
 
Huyu pepo ametumwa kwa sura ya msichana ili amalize hiyo huduma
 
Hakuna tatizo, umri wa kuolewa Tanzania ni miaka 14

Pole. Hiyo ilikufa mwaka 2009 na sheria ya mtoto. Hata kama huna uelewa na sheria hiyo mpya ya mtoto. Sheria ya ndoa ya mwaka 1977 inaruhusu kwa miaka hiyo kuelewa endapo kuna ridhaa ya WAZAZI.
 
What if itathibitika pasipo shaka kuwa umri ni 17?

ikithibitika hivyo, mtuhumiwa anaenda kukalia ndoo siku hiyo hiyo na hakuna kukata rufaa!
 
siyo mara tatu tu watu wanabakwa hata mara ishirini na bado wanaumia tu na siri zao mioyoni,kuna cases nyingi tu ambazo wanawake hubakwa na hunyamaza either kwa kumwogopa mbakaji au kukosa ujasiri wa kushtaki

hata wanaume wanabakwa na wanawake,sema wanaume wanamezea tu
 
majanga hizi kesi za kutengeneza ni kazi kwelikweli
 
Hili gubegube ndio la kupata maumivu makali kwa kugegedwa na kidume kimoja? Ishu nyingine hata haziingii akilini kabisa eti vipimo vinaonyesha aliingiliwa kwani alikua bikra? Yani mashtaka yalivyo tu kesi hakuna bora wangemshtaki kwa kubaka tu lkn habari ya kumsababishia maumivu imekula kwao na hata huo ushahidi wa daktari wa kitoto muda wa tukio na muda aliokwenda hospital ni kichekesho

Mkuu ushahidi unonyesha je kwani? i mean time ya hicho kibinti kubakwa na kupelekwa kuchunguzwa ni differnce ya muda gani?
 
Back
Top Bottom