Natumaini unaposema "Maisha ya Mtu" na binti pia anahusika hapo kama ambavyo Emma anahusika.....
Anyway lets wait an see maana tusijekuhukumu kabla ya mahakama though kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya kisheria (mimi sio mwanasheria) kinachohitajika katika kesi ni evidence.... Kwamba ni kweli anayedai kubakwa (hata kama alivua mwenyewe) yupo under 18 sioni Emma anapochomokea na kukawa na evidence ya kuwa kitendo chenyewe kilifanyika na wahusika wakakomaa na kesi ni ngumu sana. Pona ya Mbasha katika mazingira kama hayo ni mazungumzo ya kifamilia ama binti akakanushe aliyokwisha eleza polisi (na hapo wanaweza kumgeuzia kibao ni kumfungulia mashtaka na kuisumbua jamhuri au kutoa taarifa za uongo nk) au binti apotee asionekane mahakamani baada ya muda shtaka litafutwa...Huo uzuri wa wakili mpaka sasa siuoni uta-play part wapi.
Duh. ...
Watu hawasomi tarehe ya huu uzi wana comment kama uzi ni wa leo. ...
Mei ya mwaka huu kwan huu mwez wa ngp,??Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.
Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.
Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.