Mkuu lile Toto hata mimi ningelifuturu Mara 3 Tu!Maana Yule mtoto Mungu katumia ufundi wa ziada jamani!
Mtumeeee wallah kazi ipo kumbe ndo huyu ALIYESABABISHIWA MAUMIVU MAKALI MNO !!
Bao tatu ndani ya gari??Wakili mzuri hapo kesi imekwisha. Hakuna kubakwa/kubaka mara tatu.
mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.
mbakaji anashtakiwa na jamhuri kwa sababu mbakwaji ana umri wa miaka 17! huyu ni mtoto na analindwa na serikali, hivyo haki zake zinalindwa na kutetewa na Jamhuri.
Mbona una komalia sana kuwa Emmanuel M. is Guilty? wewe ni nani? na una interest gani kwenye hii case? kwa nini una prejudge na usiachie mahakama ikafanya kazi yake? unasisitiza kuwa mtu akibaka anaingiza kwa nguvu umezungumza na mbakwaji akakwambia aliingiziwa kwa nguvu? kwa maelezo ya awali inasemekana Flora alikaa UK muda mrefu na huyo mtoto alibaki na Emma nyumbani kwake je Emmanuel alishindwa kumgeuza mke? na kama alimgeuza mke kwa kipindi hicho je alikuwa anambaka kila siku?
Unasisitiza ana miaka 17 na case ni ya jamhuri, nauliza hivi jamhuri ilikuwa wapi kipindi ambacho huyo ''mtoto" mwenye miaka 17 by then ilikuwa 15 alipotengeneza movie ya ngono na mcheza mpira? kwa nini Mcheza mpira hakushtakiwa kwa kumgeuza geuza mtoto pande zote ashtakiwe huyu aliekula mara 3 tena kiiistarabu kwenye gari bila Camera?
Gazeti moja la leo linaonyesha kuwa Flora kapata nyumba ya kifahari na gari aina ya nyundo/hammer je ni nani kmapa na kwa sababu gani? na kwa nini mke wa mtu upewe vitu vya thamani na mwanaume asie mme wako?
Nawakilisha
Hii kashfa inagusa interest za wengi lakini pia kuna hidden agendas ndani yake
Yaani chombo cha habari kinaandika habari as if mtuhumiwa tayari ameshakutwa na hatia. Hawa makanjanja hawa wanaudhi sana!
Hii hapa mkuu.
siyo mara tatu tu watu wanabakwa hata mara ishirini na bado wanaumia tu na siri zao mioyoni,kuna cases nyingi tu ambazo wanawake hubakwa na hunyamaza either kwa kumwogopa mbakaji au kukosa ujasiri wa kushtakialibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...
What if itathibitika pasipo shaka kuwa umri ni 17?Wakili mzuri hapo kesi imekwisha. Hakuna kubakwa/kubaka mara tatu.
Sio huyu acheni kumchafua dada wa watu kwa kuweka picha yake mahali pasipo husika. Huyo dada mnaemuweka sio mdogo wa Flora.