Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Jamhuri: Mbasha alibaka ndani ya gari

Umri unapunguzwa ili kesi ifae kutengeneza, kwasababu ikiwa umri kuanzia miaka 18 kesi itaharibika. Ila unabakwa nyumbani halafu siku nyingine kwenye gari mara tatu halafu unaripoti Police siku nyingine kabisa. Ila sijaelewa mara tatu ina maana ni kwa siku moja yaani vitatu au ni kwa siku tatu tofauti. Kesi za kutengeneza, wasubiri maswali ya wakili wasipotamani kukimbia Mahakamani.
 
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi na kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa na viboko.

Hata hivyo Mbasha bado bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

Source:Mtanzania
:israel:

Alivyombaka mara ya kwanza alikuwa wapi, na ya pili akawa wapi mpaka aje kugundua kuwa kabakwa mara ya tatu?
 
Huyu binti alivyotumika kutengeneza picha ya ngono na Ngassa alikuwa na miaka mingapi jamani? Hii kitu lazima ihusishwe Mahakamani kuonyesha uzoefu au CV ya ngono ya huyu binti ilivyo nzuri. Wakati wa Ngassa alitumika kumchafua kwasababu ya kuihama Yanga kwenda Azam.
 
Kwenye gari nani shahidi hapo

mbakwaji ndiye shahidi na ushahidi huo unakolezwa na uchunguzi wa kimatukio na kipelelezi wa polisi. je, nani shahidi kwamba wale watu 8 walihusika na ulipuaji wa mabomu kule Arusha wakati hakuna shuhuda hata mmoja aliyewaona wakirusha bomu? ukijibu swali hili utakuwa umejijibu swali lako.
 
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...

mbakaji alikuwa akitishia kumuua endapo angetoa siri ya ubakaji huo lakini alipobaka mara ya 3 uvumilivu ukamshinda mbakwaji ndipo akatoa siri kwa nduguze ambao walimsaidia kupata msaada wa kisheria. wewe ulitaka abakwe mara 100 hadi aambukizwe mimba na ukimwi ndipo ashitaki?
 
Uchunguzi wa polisi unaonyesha kwamba muimbaji nguli wa nyimbo za injili nchini, Emmanuel Mbasha, alimbaka shemejiye ndani ya gari mara 3. Mbasha anashtakiwa na Jamhuri baada ya kumbaka shemejiye huyo mwenye umri wa miaka 17 na kumsababishia maumivu makali sana. Aidha alimvurugia matumaini ya kuendelea na masomo hasa ukizingatia kwamba binti alikuwa bado ni mwanafunzi, na pia kumweka katika hatari ya kumuambukiza magonjwa ya ngono kama ukimwi.

Adhabu kwa wanaume wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo ni kifungo cha maisha jela pamoja na kuchapwa viboko.

Hata hivyo, Mbasha bado anakana kuhusika na ubakaji huo. Lakini mbivu na mbichi zitajulikana baada ya kusomwa hukumu.

Source:Mtanzania
:israel:

.....na kumsababishia maumivu Makali.... !!!! Du hapo tuu ndio panaponoga! Halafu Mbasha kashtakiwa na Jamhuri! What a wonderful scenario!!!
 
Hivi mimba huwa inaambukizwa?
mbakaji alikuwa akitishia kumuua endapo angetoa siri ya ubakaji huo lakini alipobaka mara ya 3 uvumilivu ukamshinda mbakwaji ndipo akatoa siri kwa nduguze ambao walimsaidia kupata msaada wa kisheria. wewe ulitaka abakwe mara 100 hadi aambukizwe mimba na ukimwi ndipo ashitaki?
 
Mkuu kwa hapa nyumbani sidhani kama kuna scientific proof yoyote...sidhani kama kuna crime scene investigators waliobobea

investigators wapo na ndio waliotoa ushahidi huo. tusubiri mawakili wa E. Mbasha wakamtetee mahakamani. kama wanaweza kupangua ushahidi huo, basi mteja wao atawachiliwa huru.
 
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...

Mwanzoni alikuwa anasema Sir don't do it, sir don't do it, sir don't do it .....!!! Baadae lugha ikabadilika ikawa sir do it it is good it is goood it is goooood
 
.....na kumsababishia maumivu Makali.... !!!! Du hapo tuu ndio panaponoga! Halafu Mbasha kashtakiwa na Jamhuri! What a wonderful scenario!!!

mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.

mbakaji anashtakiwa na jamhuri kwa sababu mbakwaji ana umri wa miaka 17! huyu ni mtoto na analindwa na serikali, hivyo haki zake zinalindwa na kutetewa na Jamhuri.
 
Anasoma shule gani? Ili kama anasoma na mwanangu nimuhamishe?????
 
mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.

mbakaji anashtakiwa na jamhuri kwa sababu mbakwaji ana umri wa miaka 17! huyu ni mtoto na analindwa, hivyo haki zake zinalindwa na kutetewa na Jamhuri.

Asante kwa ufafanuzi ila kesi ya Mbasha inaacha maswali mengi kuliko majibu ngoja tuone mwisho wake utakuwa nini
 
Back
Top Bottom