dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,920
mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.
Mkuu kumradhi naona nawe utakuwa mbakaji umejuaje hiyo mambo au ushawahi bakwa?
mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.
Mkuu kumradhi naona nawe utakuwa mbakaji umejuaje hiyo mambo au ushawahi bakwa?
mbakaji alikuwa akitishia kumuua endapo angetoa siri ya ubakaji huo lakini alipobaka mara ya 3 uvumilivu ukamshinda mbakwaji ndipo akatoa siri kwa nduguze ambao walimsaidia kupata msaada wa kisheria. wewe ulitaka abakwe mara 100 hadi aambukizwe mimba na ukimwi ndipo ashitaki?
Kumbuka umri wa ndoa kwa mwanamke Tanzania ni miaka 15 na, ikiwa ni kweli, umri wake wa miaka 17 si kisingizio kuwa kabakwa.
Hapana hajamuoa, isipokuwa kigezo cha umri kwenye kubakwa, si valid kwa huyo binti mwenye miaka 17. Kwani umri aliokuwa nao anaruhusiwa kisheria kuingiliwa kimwili, ulifikiri maana ya kuwekwa umri kwenye kuruhusiwa kuolewa ni nini?
mkuu, mtu anapobaka huwa haingizi taratibu--anaingiza kwa fujo--na hiki ndicho chanzo cha maumivu.
Mkuu kumradhi naona nawe utakuwa mbakaji umejuaje hiyo mambo au ushawahi bakwa?
mkuu, nimewahi kubaka lakini msichana niliyembaka ni above 18, so nina uzoefu wa mambo hayo.
kuingiliwa kimwili bila ridhaa (kubakwa) hata ukiwa kikongwe sio kosa kisheria?
Wakili mzuri hapo kesi imekwisha. Hakuna kubakwa/kubaka mara tatu.
.....unakumbuka mkasa wa Nguza...aka Babu Seya!......
Kisimplesiple hivi hivi Babu Seya akala mvua ya maisha...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwenye picha jamani ya yule malkia alie bakwa. Dah ndio maana watu wanafia vifuani kwa ajili ya mahisia. Yule mtoto mzuri jaman!!!!
Kisimplesiple hivi hivi Babu Seya akala mvua ya maisha...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kisimplesiple hivi hivi Babu Seya akala mvua ya maisha...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Again kwa lipi? The Boss, be serious. JAMHURI hatuaandika kitu cha aina hiyo. Pengine unamaanisha gazeti jingine kabisa.
Oopss, ni 15 Baada ya kurekebishwa hivi karibuni) lakini still ni chini ya 17.
alibakwa mara tatu... hii rekodi ya dunia, mtu kwa free will unabakwa mara tatu umetulia tu.. labda ka alikua anafungiwa somewhere as in kua kidnapped afu msela anajipimia akitaka.. huyu jamaa na familia yake cheche sana, matatizo ya familia wameyakuza wee, mwishowe mtu atafia gerezani, inabidi wakae wote familia na huyo mbakaji wafikirie twice which way they wanna take, njia hii itapelekea lifetime torture, u wont have a peace of mind kujua ulisababisha mtu afungwe jela for a lifetime...
Hiyo miaka 15 imetamkwa kwenye SOSPA 1998 na ina masharti yake, moja asiwe shuleni na pili kuwe na consent ya wazazi wa binti (na tenda sio ni kuoana na sio vinginevyo). La shuleni sawa je kulikuwa na consent ya wazazi kuwa Emma atembee naye? Pili kinachozungumziwa ni kubaka...kufanya mapenzi bila ridhaa ya mwanamke. Sasa Ridhaa pia haitambuliki kisheria kama mhusika ana below 18.
Vinginevyo tunaamua tu kubishana ili tubishane lakini kama ni 17 na binti akakomaa...hata kama alivua mwenyewe na kesho yake akamwambia jana ilikuwa tamu shemeji twende tena na keshokutwa yake na mahakama ikaambiwa na kuthibitishiwa hivyo (mathalan binti ndio alimtaka Emma) bado, Emma hachomoki kwani sheria inatafsiri kitendo hicho kama kubaka kwasababu chini ya miaka 18 hakuna hiari isipokuwa tu kwa masharti niliyoeleza hapo juu.
mmmh!!!!!!!!!Umenena vyema kabisa. Na huko kubakwa hakujajulikana mpaka walipokorofishana mke na mume?