Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,933
- 4,707
Ni kweli kabisa,
Kaleta njaa kuanzia serikalini, makanisani, misikitini, magenge yote kuanzia mama ntilie hado vijiwe vya gahawa.
Kama muuza ghahawa alikua na uwezo wa kuuza mabirika matatu ya kahawa wakati wa kikwete na sasa hata moja haliishi ana sababu gani ya kumpenda aliyeko madarakani sasa?