JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

Tumuombee kwa nani? Kwani yeye hana mdomo? Tunajua anachokihitaji mpaka tumuombee? Mbona huwa hatuulizi kabla ya matamshi yake? Karma kalikoroga alinywe tu ni lake mwenyewe
 
Miaka 2 akimaliza ntahama nchi, labda abadili style, alidhani atawakomoa wafanyabiashara kumbe anakomoa wapiga kura wake tupu
Na bahati yake,angeruhusu bunge laivu,zamani angesha chokwa.Angalau kavutavuta muda kidogo wa kuwa hewani
 
Uswahili. Maendeleo ni gharama, si lelemama. Hapa ndio kwanza hatujafika katikati ya trela, baadaye picha halisi ianze. Kuna watu, wengi tu, walihamia mijini kwa kuwa pesa iliyokuwa ikivuja serikalini iliteremkia huko. Sasa JPM ameziba nyufa zote kwenye kuta na sakafu ya Serikali wakati walionufaika na uvujaji huo wakiwa bado wamekinga bakuli, hawajajua wala kujiandaa kurudi walikotoka au kubadilisha tabia na mwelekeo kuwa kuzalisha halisi. Itachukua muda kundi hili kubwa kujitambua na kuchukua uamuzi sahihi. Na ndio maana haishangazi kuona mtu juzi alisema anaipinga serikali ya JK kwa kuendekeza rushwa, leo JPM anashughulikia rushwa, mtu huyo huyo anadai bora utawala wa JK. Na corrupt state beneficial owners wanaunga mkono, si haba.
 
Visasi na majungu yanaitafuna awamu hii kama wasipojirekebisha
 
Mi nshaacha kupoteza muda wangu kwenda kwenye nyumba za ibada...hawanaga maana kabisa
umenikumbusha mbali kuna padri tulisoma nae ni kitombi na mlevi mbaya....kuna mwaka fulani nipo mkoa fulani kuna mtumishi wa umma akafariki nilimuona yule padri ndio anaongoza misa ya mazishi dah nilichoka
 
Back
Top Bottom