JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

JamboLeo: Watanzania wakosa imani na 'Rais'

Neno watanzania kwny hicho kipeperushi wasio kuwa na imani na Magu wanamaanisha Wakwepa kodi,wezi, mafisadi, wazembe na Waabudu Mikutano na Maandamano ya kisiasa
 
20160807_055451.jpg


hili gazeti siku zake zinaweza kuwa zinahesabika

Ukweli uzungumzwe tu mana hakuna namna
 
Ukicheka na nyani utavuna mabua ni msemo wa wahenga unaohitajika kutumika kwa sasa. Kufitinisha nchi, watu na raisi kiasi hiki kisa watu fulani wanaguswa hatuwezi kuikubali, mafisadi ama wahame ama warudishe chetu ama sivyo ni lazima wapelekwe segerea.
 
eliza boniface presha imempanda na hutomuona hapa jinsi gazeti la riz1 lilivyojilipua!!!
 
anza
Ukicheka na nyani utavuna mabua ni msemo wa wahenga unaohitajika kutumika kwa sasa. Kufitinisha nchi, watu na raisi kiasi hiki kisa watu fulani wanaguswa hatuwezi kuikubali, mafisadi ama wahame ama warudishe chetu ama sivyo ni lazima wapelekwe segerea.
anza na anco ben mwambie arudishe NBC yetu
 
Back
Top Bottom