jamani wanaume tumekuwa adimu

habari ndo iyo..siku izi tukienda weddng bells kununua shela tunakutana nao wanajaribisha shela nao sasa bado unataka kuniaminisha uyu nae mwanaume?....ahhh:A S-cry:nagoma bin nalia babu....mpo wachache pia kubali...ndo mana kuna wadada utawaskia ahh yule nae anataka kunioa lakin ahh sio mwanaume kabsa...lakin kwa nje ukimwona ni njemba kubwa..lina gari....lina mahela ..na kudo ana do..sasa apo utajiuliza sio mwanaume kivip...thk then nipe jibu

Mwanaume ni mwanaume tuu hata kama mnakutana nao kwenye kununua shela. Lakini bado ile kitu mkia anao na naamini unafiti pale panapo shimo kuingizwa. Hayo mambo mengine yote yanabaki kuwa tabia, either nzuri au mbaya. Upo bi dada Rose1980????
 
Mwanaume ni mwanaume tuu hata kama mnakutana nao kwenye kununua shela. Lakini bado ile kitu mkia anao na naamini unafiti pale panapo shimo kuingizwa. Hayo mambo mengine yote yanabaki kuwa tabia, either nzuri au mbaya. Upo bi dada Rose1980????


2u is ok
2me hapananoooooooooooo
 
Bishanga,

Wanaume na wanawake wa kweli wamekuwa bidhaa adimu.

That's the best way to put it!!


Duuuuuuuu, Rose leo umekamia kutoa ukweli mtupu bila kutafuna maneno..

Babu DC!!


bibi alinambia NISEME UKWELI..KWELI TUPU NIISIMAMIE


babu umesema kweli nw days wanawawke na wanaume wote awajui yawapasayo kutenda....mmomonyoko wa maadili A-Z
 
kwa mfano kip apo aujaelewa ....labda?

somo bure maswali utalipia...NOTE.

Tulikuwa hatui kama ka-Mr kako ni kasuruali, unamalizia hasira yako hapa. Natamani kakusome hapa Jf unavyokaponda. Naomba usikasukume, pls.
 
hii thread ishakuwa noma,wacha nisepe,mkitiana ngeu shauri lenu.
 
wanawake wangukuwa
wachache pangekuwa hapatosh hapa duniani,ful watu kuuwana,ugomvi daily
kugombea mbunyeee,mungu ana makusudu yake kuwafanya wawe wengi ona hata
takwimu hospitalini katika watoto 10,wawili tu ndo vidume,,,,,,,napenda
sana hii kitu

Na ktk wanaume 10 rijali 2 tu. Haya shangilieni.
 
Mwanaume ni mwanaume tuu hata kama mnakutana nao kwenye kununua shela. Lakini bado ile kitu mkia anao na naamini unafiti pale panapo shimo kuingizwa. Hayo mambo mengine yote yanabaki kuwa tabia, either nzuri au mbaya. Upo bi dada Rose1980????
siyo mikia yote inafukunza nzi mingine kama mapambo vile; we mwanamme mzima ununue shela harafu useme waweza kulenga shimo weye
 
Utafiti wa kisayansi umeonesha hata madume ya chura pia yamepungua mikoani, ndio maana kima cha maji eneo la bonde la ufa kimeongezeka, utafiti huo ukaendelea kufafanua kwamba miili ya vyura dume inahitaji maji sana ili ngozi zao kung'ara jambo ambalo limeisababishia mito mingi ya mikoani kuwa na uhaba wa maji.
 
wanawake wangukuwa wachache pangekuwa hapatosh hapa duniani,ful watu kuuwana,ugomvi daily kugombea mbunyeee,mungu ana makusudu yake kuwafanya wawe wengi ona hata takwimu hospitalini katika watoto 10,wawili tu ndo vidume,,,,,,,napenda sana hii kitu

acha kudanganya watu, MUngu si mjinga kuumba sex moja wachache wote wanazaliwa sawa sawa. kama umeona aman boys ni 2 na girls ni 10 basi ujue temeke boys ni 10 na girls ni 2. msijipe moyo sana sema tu mnakufa mapema kutokana na kumchukiza Mungu basdi.
 
lakini kwa ukweli ukitaka kumdefine mwanaume utamdaafine vipi? ni mtu mwenye uume na korodani zake mbili. na kama ndvyo mtakubaliana na mm kuwa hawa watu wa aina hii ni wengi sana. Ila sasa pale kwenye utu wa ndani ndo kasheshe unawea kuta robo tatu ya wenye uume na korodani ni wanawake. kila anamume ajitafakari
 
Back
Top Bottom