Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 61,775
- 37,957
Huwa nawaza sana
Tumeambiwa tutaoewa wakufanana nasisi
Kwanini walevi hawaoi walevi wenzao jamani?
Ama wazinzi hawaoi wazinzi wenzao??
Wezi hawaoi wezi wenzao?
Utakuta jitu bar limelewa mbaya linaulizwa unaoa lini pembeni kuna madada wamelewa wanakunywa kama wananyonya pipa ya tbl
Anakujibu wewe nani wanawake wa bar sio kabisaaa
Mimi mke wangu nitampata kanisani
We mlevi wewe kanisa ndio chaka la wanaume walevi sio haya bana
Nawatakia heri walevi wote wanaoenda kuoa Jumamosi hii