jamani wanaume tumekuwa adimu

FirstLady1 mganga wangu kaniambia nikikusalimia wewe tu basi matatizo yangu ya maisha kushnei, halaf nitakuwa pedejee.
Mambo?
klorokwini ..kumbe hawa waganga waongo ..wa kwangu kanambia nikaoge mtoni saa nane usiku ili nyota yangu ifunguke wakati hapa nilipo hakuna mto wala hata chemchem .
nakumiss bana kampeni Arumeru ziliisha ukaelekea Malawi?
 
Last edited by a moderator:
klorokwini ..kumbe hawa waganga waongo ..wa kwangu kanambia nikaoge mtoni saa nane usiku ili nyota yangu ifunguke wakati hapa nilipo hakuna mto wala hata chemchem .
nakumiss bana kampeni Arumeru ziliisha ukaelekea Malawi?
FirstLady1
hehehe Haujanishinda mimi bana, nilikumiss mpaka nikakutega alarm kwenye sim. Arumeru ndio hayo hayo ya waganga bana, kuna mganga aliniambia nitashinda lakini niliambulia kura ya waifu na hauzigeli wetu tu, ili kuuwa soo nikatimkia bukina faso.

Bishanga atatusamehe tu bana tuchakachue kidogo.
 
Last edited by a moderator:
FirstLady1
hehehe Haujanishinda mimi bana, nilikumiss mpaka nikakutega alarm kwenye sim. Arumeru ndio hayo hayo ya waganga bana, kuna mganga aliniambia nitashinda lakini niliambulia kura ya waifu na hauzigeli wetu tu, ili kuuwa soo nikatimkia bukina faso.

Bishanga atatusamehe tu bana tuchakachue kidogo.


haahhaah sasa huyu Bishanga anatwambia wanaume wamekuwa adimu wakati wewe klorokwini upo na yeye yupo jumlisha na wengine weeeengi kama mchanga wa baharini
 
Last edited by a moderator:
haahhaah sasa huyu Bishanga anatwambia wanaume wamekuwa adimu wakati wewe klorokwini upo na yeye yupo jumlisha na wengine weeeengi kama mchanga wa baharini
FirstLady1
Hii ratio ilokuwepo ndio nzuri bana, Mungu hakosei spelling, wewe unazani wanawake wangekuwa kidogo pangekalika hapa ulimwenguni? tungehalalisha mpaka kufunga ndoa na frozen chicken.
Tuacheni Mungu aiwe Mungu tu
 
Last edited by a moderator:
Dah mkuu naona full mang'emung'emu hahahahahaha...,
:hippie::A S angry::doh::target::eek:hwell::smile::bowl::rofl::A S 41::mad2::(:bathbaby::rolleyez::crying::whip::glasses-nerdy::A S-cry::lalala::A S-heart-2::playball::censored::shut-mouth::A S shade:
 
hah hahaha kinawauma ehhh? AFU ELEWA KWANZA APA SIJAONGELEA NGONO WEWE MWENYE KUVAA SURUALI...sasa tuendelee:hippie:
ndo manake babu..wanaume wenye uanaume ni wachache..chek wangap wamelelewa na mama tu?bab katelekeza famil..mnasomeshwa na mama zenu mpk lenu mmeweza.. kununua DADAVUZI MPAKATO bas mnajionaaaaaaaaaaaaa et ohh wanaume wachache ehh ni kweli ni wachache...cz mnayotakiwa kutenda km wanaume hamtend..sasa bado tuwaite wanaume?....MWANAUMEANA SIFA ZAKE BWANA...UKIKAA NAE UNAJUA YAP THIS IS A MAN..

Huyu anaongea nini?Kwan kuna jinsia ngapi?au unataka kuongeza ya kwako?
 
bibi alinambia NISEME UKWELI..KWELI TUPU NIISIMAMIE


babu umesema kweli nw days wanawawke na wanaume wote awajui yawapasayo kutenda....mmomonyoko wa maadili A-Z

Siyo tu kutenda Rose, ila watu wenye quality even at a glance za kuitwa wanaume au wanawake ni wachache sana ingawa watu wenye biology za kiume na kike wamejaa kama majani!!


Hivi huyo bibi alikufundishaje kuhusu kuadimika?? Unapotea kama vile umemezwa na chatu? Au ulienda kufanya consultations kujue kama wewe ni miongoni mwa ten best au imekula kwako??

Babu DC!!
 
Haya turudi kwenye topic nasikia India wanawake wachache kuliko idadi halisi ya wanaume.
Ukioa wewe mnashare na ndugu zako yaani dogo anakuwa anajipigia bro nae akiwa na hamu anakula hata ankal
Yep, hiyo ni confirmed kabisa niliwahi kumfanyia interview mhindi mmoja jimbo la gujurati wakati ule niko na BBC akafafanua kwamba samtaimu inawekwa time table kabisa ukutani,

2-4 am ------- Sanjay dati

6-9 pm = ---------ashki kumar

7 - 12 pm -------- zindegi bazaar

Akijifungua katoto kanachapwa kofi kakilia anaeweza kukanyamazisha ndio anakuwa baba.
 
Hii ndo raha ya kumiliki watoto wa uswazi wala hawana wivu hawajui kadi wala baga
Wa uswazi wanaelewa kwamba mwanaume hakuumbwa kwa mwanamke mmoja. Wakigundua huwa wanatetea maslahi ya digestion tu basi halafu lavu stori linaendelea.
 
Wewe mtoto Jogoo halei vifaranga.
Kazi ya mwanaume ni moja kuchukua kojoleo lake na kuchomeka panapo husika.

I see, km ndo uchache huo mnaouongelea kwa dhana hiyo ya kutumbukiza na kupiga bao basi bora muishie wote tu, hamna maana.

Kwa hiyo ww mkeo/girfriend/fiance wako ndo unavyomfanyia? Unachomeka kikojoleo unakojoa basi na kazi yako km mwanaume inaishia hapo?
 
Wanaume tuko wachache sana tangu zama za adam, ila magumegume ni wengi.

ni kweli wanaume na hata wanawake ni wachache sana! ila magumegume ndio kibaaaaaooooo! ukitaka wanaume suruali wamejaa sana sana, ila wanaume kwa maana ya wale ambao wanaweza wakachukua majukumu ya uanaume ndio tatizo. majukumu hayo ni kama vile: kuw ana kipato cha kumudu majukumu yake, smart, gentleman (one that can be trusted), anaemudu majukumua shguhuli muhimu na adhimu ya 'in between two legs' etc. jamani wanaume hao ni wachache sana sio siri!
 
Back
Top Bottom