jamani wanaume tumekuwa adimu

me nasema wanaume mpo wengi na mnatosha kila m2 kuwa na wake,tatizo mnapenda kudonoadonoa na kama alivyosema mtambuzi wengi wenu mmeupenda uanamke zaidi(ushoga).ktk wanawake kumi unaopishana nao wa4 ni mashoga tho huwezi mjua mpaka akuvulie.jambo lingine me naona kama Mungu ameamua kupunguza idadai yenu cuz aliyowa2ma myatimize hamyatimizi,mbona enzi za kina ibrahim wanaume walikua wengi jaman?acheni 2we wengi cuz mungu ameona 2naweza kuyatimiza mliyoshindwa kuyatimiza.
 
Ngoja nije kwanza,nimalizie kupiga mtori maana nina raha mpaka naumwa,tumemzibua barca we acha tu!
 
Bishanga umeona nini asubihi na mapema kuja na uzi huu
Kweli wanaume wamebaki wachache sana wengi wa wanaume waliopo wanaoneana kuvaa suruali ni wa kiume sio wanaume

Na wewe unarukia bandwagon wa kuwa bash wanaume?
 
Maneno makali sana hayo Rose,kuna watoto humu wanakodoa mimacho hata shule hawajaenda.

ahh nsamehe bure mtu wangu..asi kunamijitu umu michokozi km mijiti INATAKA KUJIHESABIA HAKI NA KUPONDA WAKIKE...WANANTIA HASIRA NATAMAN:A S-cry:
 
me nasema wanaume mpo wengi na mnatosha kila m2 kuwa na wake,tatizo mnapenda kudonoadonoa na kama alivyosema mtambuzi wengi wenu mmeupenda uanamke zaidi(ushoga).ktk wanawake kumi unaopishana nao wa4 ni mashoga tho huwezi mjua mpaka akuvulie.jambo lingine me naona kama Mungu ameamua kupunguza idadai yenu cuz aliyowa2ma myatimize hamyatimizi,mbona enzi za kina ibrahim wanaume walikua wengi jaman?acheni 2we wengi cuz mungu ameona 2naweza kuyatimiza mliyoshindwa kuyatimiza.

baelezee baelewe mama.....TOA SHULE MI NTAWALIPIA ADA....sema sasa tatizo wanaume weng HAWAELEWE HARAKA.....lakin tufanyeje sasa?na sisi ndo macompletor wao?..ahh tuwajuze tu.....wanaume suruali kibaoooooooooooooo mjin apa...awajui cha soksi wala kiremba ebu wanipishe mie puuuuuuh!!!!!!!!!!!!
 
Kweli mkiwezeshwa mnaweza tangia marufuku ya kukeketa iwepo naona midomo imewazidi lakini piga ua mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu.

ehh kumbe kukeketa kuliwafanya wanawake wawe wapole?...WE NI MWANAUME KWELI.

ni kweli man stl b a man ata km ni bwabwa pia ni mwanaumeeeee..sibishi mie:whip:
 
Na wanawake wanaoujua uanamke wapo wengi? Maana kila ninakoangaza naona wanawake wanaovaa suruali kama wanaume....so ngoma droo au?

yap.at list umenena...wanawake pia wapo wachache ...KM ILIVYO WANAUME WENYE UANAUME WALIVYO PUNGUFU
NAKUBALI HOJA YAKO
 
wanaume wanaojua uanaume ni wachache...NI KWELI
lakin wanaume wenye kukojoa uku wamesimama na kuvaa boksa ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeng sana mpk wengne wanajiuza

km ilivyo wanawake wenye ukike ni wachache
lakin wanawake wavaa shanga wapo kibaooooooooooooooooooo mpk wengne wapo sokon:hippie:

ungefafanuagga wajameni, wengine hatujuaggi hayo mamisemo, woo?
 
Back
Top Bottom