Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?

Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?

kweli bwana ila na ile kesi yako sijui ?

Afu wewe mbona unanichoza sana
Naenda kutubu weekend hii kwa Mtakatifu wa Siku za Mwisho so nikija jumatatu nitakuwa swafi kabisa na kule siendi tena
 
My philosophy - A bachelour lives like a king and dies like a beggar__A family man lives like a beggar but dies like a king is this.

Kama una enjoy ukapera endelea kuwa mseja
 
afu wewe mbona unanichoza sana
naenda kutubu weekend hii kwa mtakatifu wa siku za mwisho so nikija jumatatu nitakuwa swafi kabisa na kule siendi tena
kweli bwana balaaaaaaaaaaa ile kitu loh?
 
Okay poa basi kuanzia saa nane usisahau ila nitaanza kukucheck around saa 7

Nyie Mr & Mrs Finest kuna kasehemu wanakutana watu wanaongea mambo yao ya ndani kanaitwa PM hebu kachungulienio mle muangalie kuna nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom