Jamani ni umri gani sahihi wa kuoa?

mkuu kama mshabiki wa man
uko na miaka 10 subiri ufikishe 16
20 subiri ufike 26
30 subrii 36
40 subiri 46
Miaka ya baahati nimeona ndoa nyingi za miaka hii kuachana ngumu sana ila kutengana sijajua
 
Unasubiri nini? Kama maisha yanakuruhu kuanzisha familia oa
upunguze msongamano na sie 2pate waume
 
naona uzee unaninyemelea wandugu sina mshichana na wala sijawa na hisia za kuanza kutafuta na ki finacial nipo safi na kielimu pia ..but i realy dont know the age of getting marriage.. nakaribia kuwa na miaka 30 baada ya mwaka mmoja ..je nitafute mke au bado niendelee kuwa bachela?
kuna tatizo lolote kubaki hivi ..msaada wenu watu wangu unahitajika hapa ..msinirushia madongo kwani mawazo yenu as a great thinker yatanijenga na wala sio kunibomoa ..
thanks guys and have a nice time:

ukishaanza kukojoa ujue uko tayari kumpata wa kumkojolea
 
Jamani naombeni ufafanuzi juu ya hili, ningependa kujua umri sahihi wa kupata mwenza ni upi?

Mbona mi naambiwa bado
 
Hakuna jibu la moja kwa moja kuwa ukiwa na miaka fulani ndiyo uoe maana kila mtu ana historia tofauti ya umri alio oa...Ningekushauri ukiwa upo kwenye 20s ni umri mzuri kuoa ili mradi ujipime akili kama imekomaa na pia uwe umeshatosheka na mambo ya ujana ujana...Maana ili ndoa iwe imara lazima uwe committed pale na uache mambo ya ujana ujana...Kila mdada ukipishana naye wewe lazima ugeuze shingo..Ukiulizwa ni nin shida ..Unajibu .''Kama vile namjua ''..sasa kama ulishindwa kumtambua mkiwa mnaangaliana kwa mbele ukimwangalia kwa nyuma ndo utamtambua..Ama ulimkariri mgongoni..
 
Inategemea unafanya nn, ss km unasoma ni dhahiri huwezi kuoa ukiwa na umri wa miaka 20 ila km ni muhangaikaji wa shuguri yoyote ikupatiayo kipato hapo labda unaweza

ila kwa miaka 20 hapo vijana wengi wa vijini ndo waga mara nyingi wanaoa kwakuwa wanapewa ardhi kidogo ya kulima pamoja kaeneo ka kujenga nyumba yake na anakuwa kalithishwa au kafundishwa kazi Fulani na Mzee wake, either km ni uvuvi,kuchoma mkaa,ufundi nk.

ila kwa mjini huo umri bado ni tatizo kwakuwa mara nyingi unakuwa huna mbele wala nyuma na km unasoma ndo kwanza upo au umemaliza form 6. Kwa maoni yangu umri mzuri wa kuoa ni 30 years, hapo at km ulikuwa unasoma utakuwa umemaliza na km mungu alikusaidia umepata na kikazi na teyari umejipanga angalau kwa miaka 3 hv.

NB. Ukipata binti wa kukupa mtoto we mpe 2 ujauzito ata km una miaka 22-25 ili uwe unajua una nn cha kukipigania ktk maisha usije kufa km kanumba
 
Umenishauri vyema sana asante
 
Nashukuru ni mawazo mazuri
 
kwann unasema hivyo????,nahisi nimechoka kuruka ruka
Unarukaruka! kwsni haujamuainisha? utampata lini? utamfahamu lini na kwa muda gani au unafikiri ni shati unaenda tu kuchukuwa dukani?
 
Unajua nn imbegete nimeuliza hivyo kwa sababu ila sio naruka kivile,kusema ukweli bado sijawa na mpango na cjui naanzia wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom