donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ni kwa neema tu,
Salam wakuu. Leo kwa mapenzi mema ya Mwenyezi Mungu, hatimaye basi nami nakua natunukiwa shahada yangu ya kwanza pale Karimjee Hall. Japo nimechelewa kutokana na umri (LOL), lakini its better late than never. Safari haikua rahisi, kwan wanakitivo wenzetu almost 100 wamekua disqualified na kutakiwa kurudia mwaka. Hivyo basi nashukuru neema ya Mungu imenipitia nami Lucchese. Karibuni jamani kuanzia mida ya saa 7 mchana pale Karimjee!