Jamani leo Graduation yangu Donlucchese...!!!

Jamani leo Graduation yangu Donlucchese...!!!

Hivi na sisi tuliopata div 5, tunaweza kujiongezea hadi kupata hiyo degree?????

Hobgera sana, Mungu akubariki zaidi na zadi.

NB;
Kusoma ni kipaji.

Amina mkuu, ila amini kila kitu ni determination tu
 
Wakuu, thanks so much for your wishes. I now officially hold a Bachelor Degree in Banking And Finance!
 
Mie wala sikupongezi maana zawadi yangu umeikataa🙄🙄🙄
 
Ni kwa neema tu,
Salam wakuu. Leo kwa mapenzi mema ya Mwenyezi Mungu, hatimaye basi nami nakua natunukiwa shahada yangu ya kwanza pale Karimjee Hall. Japo nimechelewa kutokana na umri (LOL), lakini its better late than never. Safari haikua rahisi, kwan wanakitivo wenzetu almost 100 wamekua disqualified na kutakiwa kurudia mwaka. Hivyo basi nashukuru neema ya Mungu imenipitia nami Lucchese. Karibuni jamani kuanzia mida ya saa 7 mchana pale Karimjee!

Hongera sana.
 
better late than never...

congrats bro...u have been given the power to read.

Nenda ukaitumikie jamii!!!
 
Hongera zako mwaya sisi tulioishia vidudu tunakuonea wivu Jipe moyo utayashinda ya PHD
 
Back
Top Bottom