Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,235
Piga chini
Ulivyosema tu amesema nipangie furniture na kila kitu nikajua tu huyu ni mwizi






katika kuhudumia huko ndo naona acha kazi hapa nikuoe huku nakutafutia kazi nyingine pia uwe karibu yangu hutaki ila huduma unataka
hapo ni kukupiga chini uhudumiwe na wengine kama huwezi fuata masharti yyak
Kwann mm ndo nifate yako na kwann we usifate yangu wakti wew ndo ulinitongozaaa kuna design ya wanawake hawapendi kuendeshwa kbs yaan bora tuelewana sio kunipelekesha my dearkatika kuhudumia huko ndo naona acha kazi hapa nikuoe huku nakutafutia kazi nyingine pia uwe karibu yangu hutaki ila huduma unataka
hapo ni kukupiga chini uhudumiwe na wengine kama huwezi fuata masharti yangu
Fikiria mtu analiaje kwenye simu,kwa vi emoji vya machozi amaHahahahah..
Utakuwa wee ni mgeni kwa wanawake.
Kulia na kulalamika ndio silaha yao ya kukumaliza...kama tutakuwa hai mwakani utakuja kuleta mrejesho baada kumuhurumia.
Angalieni tu msije mkazeekea nyumbani kwa wazazi wenuAnaekupenda bhna wengne tu hatupendi kuolewa kabsaa ila kupenda tuna fall kabsa shida inakuja pale unaponiambia uniweke ndani uwiiiiiiiiiiiii!!!!! Sitaki kbs
Zeshchris We mdada umepotea sana
Oooooooh zmn ndo tuliolewankwa ajili ya wazaz na heshima kwenye jamii kwa sasa ni tofauti kuolewa sio jambo la kutamaaani ndo maana wengi wanapenda tu harusi watu waone wazaz waheshimike then baada ya miez6 ndoa imevunjikaAngalieni tu msije mkazeekea nyumbani kwa wazazi wenu
Nipo aseee majukumu tu yananiweka mbali na simu wakati mwingineZeshchris We mdada umepotea sana
bora yangekuwa ya maana, yaani nifate ya kukupangia chumba na.kukuwekea fenicha uwe huru na sio ndoaKwann mm ndo nifate yako na kwann we usifate yangu wakti wew ndo ulinitongozaaa kuna design ya wanawake hawapendi kuendeshwa kbs yaan bora tuelewana sio kunipelekesha my dear
Mkuu kama kweli unampenda demu wake we fanya tu kile anachokwambia, jitundulize umpangie chumba mixer kumnunulia funiture na vitu vingine vya ndani ili aweze kujinafasi coz hio itanogesha penzi lenu maana itakuwa rahisi kwa nyie kuonana.
Usiogope bana, Si unajua Hawa wanawake ukitaka kuwa nao lazima ujiandae kugharamia, everything is all about risk takibora
Bora ata wewMkuu kama kweli unampenda demu wake we fanya tu kile anachokwambia, jitundulize umpangie chumba mixer kumnunulia funiture na vitu vingine vya ndani ili aweze kujinafasi coz hio itanogesha penzi lenu maana itakuwa rahisi kwa nyie kuonana.
Usiogope bana, Si unajua Hawa wanawake ukitaka kuwa nao lazima ujiandae kugharamia, everything is all about risk taking.
Same here...Nasoma comments mimi
Unaishi sayari gani wewe, amka haraka toka usingiziniKwan huwa tunawapa bila kuiomba


Kiujumla 90% ya kanda ya kaskazini wamekaa kiupigaji tu maana nilishawahi kuwa nao kimahusiano Wachaga, Wairaki, Wambulu, Wapare ila Wamasai pekee ndiyo wanajitambua.Mabinti wa kichaga&kipare..hizi ndo pigo zao, japo sio wote.
Atakuchuna mpaka uzeeke, shtuka bro,
Boma la Utete.
ayo sio mahusiano ila huyo demu kapata ajira kwako. ila kwa vile umemuajir wewe mwenyewe endelea kumlipaHuyu mwanamke nilikutana nae miezi mitatu iliyopita nikiwa katika harakati zangu za kikazi mkoa flani. Alinivutia muonekano wake na tabia (napenda wanawake wapole). Tukaanza mahusiano baada ya wiki mbili za kufahamiana. Mkoa aliopo anaishi kwa ndugu.
Umri ana miaka 25. Anafanya kazi kiwanda cha wahindi. Hawamlipi vizuri kutokana na maelezo yake na kazi anafanya siku sita za wiki, masaa 12 kwa siku. Hua anapewa siku moja tu ya kupumzika. Kwahyo ili tuwe tunaonana inalazimika mimi ndio niwe nasafiri kila napopata nafasi kwa vile tunaishi mikoa tofauti ni umbali wa masaa matatu kati yetu.
Tatizo binti shida hazimkauki. Binti anaomba sana ela. Kuanzia pesa ya nauli ya kwenda na kurudi kazini. Vocha. Kula. Mahitaji yake yote lazima aombe kubustiwa. Nimepiga hesabu kwa wiki pesa ndogo akiomba ni elfu 80, hua haipungui hapo. Sasa hivi ameomba nimpangie chumba nimnunulie na furniture ili tuwe tunakutana kwa uhuru tofauti na hivi tunavyokutana lodge kila nikija.
Kwahiyo nilimkalisha chini. Mshahara wangu haujui lakini ni zaidi ya mara tisa ya ule anaopokea yeye. Nikampa wazo anipe utaratibu nikajitambulishe kwao wanijue. Then aje tuishi wote huku tukitafta project iwe ya biashara au chochote ambacho ataweza kufanya akiwa huu mkoa niliopo mimi kuliko kuendelea kufanya kazi ambayo haimlipi huku akizidi kuniingizia unnecessary costs. Mipango ya ndoa then iendelee.
Amegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine. Nimemuambia kama haiwezekani basi kila mtu aendelee na maisha yake kuliko kupotezeana mda. Analia. Analalamika nimemchezea. Eti simpendi na simjali na nimebadilika! Binafsi nimeshindwa kumuelewa!
Unaishi sayari gani wewe, amka haraka toka usingizini
Siku hizi Me ndiyo tunazikimbia K kuepuka mikosi isiyo na ulazima na kuendelea kudumisha ndoa kiuaminifu, ila Ke wanatutongoza sana tu sisi Me [emoji4Hongwe
Alikuwa amefichwa huyo, kuna Me wanakaba mpaka vivuliZeshchris We mdada umepotea sana


Hahahahaha mwanamke anafanya upuuzi halafu anam victimize mwambaHahahahah..
Utakuwa wee ni mgeni kwa wanawake.
Kulia na kulalamika ndio silaha yao ya kukumaliza...kama tutakuwa hai mwakani utakuja kuleta mrejesho baada kumuhurumia.