Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Yeye amesema amhamishe kazi then wakapange waishi wote heeeeeeeee yote ayo miez mitat na wanaume hubadika hurogwa, na mengne mengi ety mm niache kazi niliyofanya mda mrefu nifate mwanaume bora niitwe malaya
Hatupangi, tunaishi wote hapa kwangu. Nina nyumba ila naishi mwenyewe. Ninachohitaji ni kusettle na kua na familia. Nimeona yeye ni mtu sahihi kwangu na wala sina nia ya kumpoteza. A man needs to settle sometimes.
 
iyo kazi inamsaidia nini ikiwa 90% ya mahitaji anaomba kwa jamaa.

kama anaona kazi ni bora, aendelee na kazi na imsaidie kununua mahitaji anayo taka ikiwa n pamoja na kujipangia chumba na kunua samani za ndani.
Mwanaume jukumu lako ni kuhudumia ata kama unamoa elf kumi kwa mwez na mshahara wake ni milion 2 bado elf 10 yako ataiiona ya thamaniii kutoa ni muhimu
 
Ila ni pisi flani hivi ikikaa mjengoni raha tupu
kitendo cha kukataa kuishi na wewe na kulazimisha umpangie na kumnunulia vitu vya ndani manake anajiwazia yeye zaidi na maisha yake kuliko wewe.
Wewe unatumika tu kuendesha maisha yake na haupo peke yako. Mchunguze vizuri utakuja kunishkuru chief, utaokoa pesa zako nyingi sana.
 
Hela ninazo za kumhudumia lkn mm nataka ni-push huu uhusiano ufike hatua ya kuishi pamoja lkn anagoma.
Ukiona ana goma basi kashaona huna hela. Na hela zinazozungumziwa kwenye mapenzi sio hela za mawazo mfano yy anataka 80k kwa week ww mpe mara mbili yake uone kama ataenfekllea kukataa
 
Vyote hivyo nimefanya lkn dogo ni king'ang'anizi hataki kuachika.

Ila anataka nimpangie chumba na furniture za uhakika..
Dogo unatusumbua watu asubuhi yote hii tunaumiza vichwa namna ya kukusaidia kumbe ulishafanya maamuzi! Kwahiyo hapa ulikuja kuhakiki Kama ulichofanya ni sahihi au la? Kwataarifa Yako mwakani mwezi wa sita haufiki utakuja na Uzi wa mrejesho.
 
Hatupangi, tunaishi wote hapa kwangu. Nina nyumba ila naishi mwenyewe. Ninachohitaji ni kusettle na kua na familia. Nimeona yeye ni mtu sahihi kwangu na wala sina nia ya kumpoteza. A man needs to settle sometimes.
Hapendi kuendeshwa bado yy hajamaliza safari yake vzr muulize tyu vzr ana mpango ganii
 
Hehe hehe unapigwaaaaaaaa, kwanza wanawake tukimpenda mtu hatumuombi pesa hovyo hovyo lakini haimaanishi hatuitaki au msitupatie.
Huyu wa kwako kitendo cha kukataaa wewe kujitambulisha kwao tu kinatosha kukuondoa kwenye hilo janga.
Unaishi na mwanamke wa mtu shtukaaaa
 
Mwanaume jukumu lako ni kuhudumia ata kama unamoa elf kumi kwa mwez na mshahara wake ni milion 2 bado elf 10 yako ataiiona ya thamaniii kutoa ni muhimu
katika kuhudumia huko ndo naona acha kazi hapa nikuoe huku nakutafutia kazi nyingine pia uwe karibu yangu hutaki ila huduma unataka
hapo ni kukupiga chini uhudumiwe na wengine kama huwezi fuata masharti yangu
 
Back
Top Bottom