Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Miezi mi3 unataka umpangie chumba na umeshalipa nauli elfu 80 kwa wiki 12 bado kuna hela zingine nyingi tu umepigwa ila kwa aibu huwezi kuzisema.
Utaliwa sana hela hapo we endelea kusema nimetaka kumuacha analia, kulia kwenyewe tukikuuliza umemuona kwa macho yako akilia? Utatujibu alikutumia Emoji
Ofcuz nimeingia gharama mkuu ila hazizidi 1.5mil. Ndio maana nataka niweke ndani kabisa kupunguza cost na kupush forward maendeleo.
 
Kwan kuolewa ni lazima bhana kwangu mm ni un necessary
Ila papuchi unatoa fresh kabisa, na unataka uhudumiwe hadi hela ya kula, kusuka, kodi ya chumba. Yaani unatoa huduma zote za mke, na unapewa huduma zote za mke, ila hutaki tu KURASIMISHA hiyo hali ya kuitwa mke. Wewe ni nani?
 
Nikuambie kuwa hapo huna mke. Akituma meseji usijibu, akipiga usipokee akitumia simu nyingine ukijua ni yeye kata. Anataka kuwa huru huru yakuwapanga madanga na vidanga. Nina UHAKIKA sio peke Yako unaepigwa vizinga na kuombwa hela ya pango huyo sio demu.

Huyo Binti anaweza akawa Analia mbele Yako na ukamuonea huruma lakini kitakachokukuta ni balaa. Anataka apange na kukamilisha geto halafu aje ajigambe Kwa marafiki kuwa kazi inamlipa na kwao asifiwe kuwa mpambanaji na hataki wajue kuwa ana backup yako.
 
Hapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Kumbuka ao wamekutana miez mi 3 tu then mnapokutana watu wawili kumbuka kuwa kila mtu alkuwa na malengo yake binafsi sio rahisi tu mtu aache yake afate yako maisha yamechange kila mdada nahtaji kujijenga wew kma huwez kumpa ela basi tafta mwingine mnaeendana sio wote wako ivo
 
Hapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Mwanamke mwaminifu shauku yake ni kuolewa.

Lakini mwanamke malaya hataki kuolewa atakupa upendo feki ili aendelee kukuchuma huku analiwa na timu ya watu kibao
 
Hapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Uko sahihi mkuu. Hawaeleweki. Amenihakikishia hana mtu mwingine zaidi yangu. Lkn kuishi pamoja anaona jau! Mtihani kweli huu
 
Achana nae. Usimpangie kabisa chumba pia usimpe pesa tena akikuomba
Huyu mwanamke nilikutana nae miezi mitatu iliyopita nikiwa katika harakati zangu za kikazi mkoa flani. Alinivutia muonekano wake na tabia (napenda wanawake wapole). Tukaanza mahusiano baada ya wiki mbili za kufahamiana. Mkoa aliopo anaishi kwa ndugu.

Umri ana miaka 25. Anafanya kazi kiwanda cha wahindi. Hawamlipi vizuri kutokana na maelezo yake na kazi anafanya siku sita za wiki, masaa 12 kwa siku. Hua anapewa siku moja tu ya kupumzika. Kwahyo ili tuwe tunaonana inalazimika mimi ndio niwe nasafiri kila napopata nafasi kwa vile tunaishi mikoa tofauti ni umbali wa masaa matatu kati yetu.

Tatizo binti shida hazimkauki. Binti anaomba sana ela. Kuanzia pesa ya nauli ya kwenda na kurudi kazini. Vocha. Kula. Mahitaji yake yote lazima aombe kubustiwa. Nimepiga hesabu kwa wiki pesa ndogo akiomba ni elfu 80, hua haipungui hapo. Sasa hivi ameomba nimpangie chumba nimnunulie na furniture ili tuwe tunakutana kwa uhuru tofauti na hivi tunavyokutana lodge kila nikija.

Kwahiyo nilimkalisha chini. Mshahara wangu haujui lakini ni zaidi ya mara tisa ya ule anaopokea yeye. Nikampa wazo anipe utaratibu nikajitambulishe kwao wanijue. Then aje tuishi wote huku tukitafta project iwe ya biashara au chochote ambacho ataweza kufanya akiwa huu mkoa niliopo mimi kuliko kuendelea kufanya kazi ambayo haimlipi huku akizidi kuniingizia unnecessary costs. Mipango ya ndoa then iendelee.

Amegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine. Nimemuambia kama haiwezekani basi kila mtu aendelee na maisha yake kuliko kupotezeana mda. Analia. Analalamika nimemchezea. Eti simpendi na simjali na nimebadilika! Binafsi nimeshindwa kumuelewa!
 
Tatizo lako sio kuolewa, bali kurasimisha kuolewa. Maana kama unahudumiwa hadi hela ya kula, na unatoa papuchi kiroho safi, hapo ni umeolewa kibubu-bubu tayari.
Yeye amesema amhamishe kazi then wakapange waishi wote heeeeeeeee yote ayo miez mitat na wanaume hubadika hurogwa, na mengne mengi ety mm niache kazi niliyofanya mda mrefu nifate mwanaume bora niitwe malaya
 
Anaekupenda bhna wengne tu hatupendi kuolewa kabsaa ila kupenda tuna fall kabsa shida inakuja pale unaponiambia uniweke ndani uwiiiiiiiiiiiii!!!!! Sitaki kbs
Sijaelewa ulichoandika hapo. Nimesoma zaidi ya mara tatu lakini bilabila
 
Shikilia hapo hapo vinginevyo endelea kupoteza.
Hauko peke yako ndio maana hataki kukutambulisha.
Hayo malalamiko anataka huruma na ndio fimbo yao ya kujilinda lkn ukweli ni kwamba hauko peke yako
Amenihakikishia nipo peke yangu ila kwa sasa anataka anataka kua independent. Daaaah!
 
Back
Top Bottom