Inaonesha bado unampenda uyo demu, huenda mda si mrefu utamrudia, analalamika ivo sababu ameona ukimuacha, hata izo elfu 80 unazompa kila wiki atazikosa, shtuka Vocal FremitusBaada ya mikausho mikali naona ameamua kua mpole. Habari za kupangiwa chumba hana tena!View attachment 2463103