Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Mkuu kama kweli unampenda demu wake we fanya tu kile anachokwambia, jitundulize umpangie chumba mixer kumnunulia funiture na vitu vingine vya ndani ili aweze kujinafasi coz hio itanogesha penzi lenu maana itakuwa rahisi kwa nyie kuonana.

Usiogope bana, Si unajua Hawa wanawake ukitaka kuwa nao lazima ujiandae kugharamia, everything is all about risk taking.
Za kuambiwa changanya na zako Mleta mada.
 
Nadhani demu anafanya kazi A to Z Arusha.
We unakaa Babati au Moshi bila shaka.
Bila kupoteza muda unapigwa hapo, unafanyiwa udalali!
 
Hongera kwa kutongozwa
Karibu nawe unitongoze ujionee, tena nifanyie vetting ya kutosha uje ushuhudie hapa hapa JF, natafuta miezi 10 tu niwe na miaka mitano bila kuchepuka kwenye ndoa.

Sifa na utukufu ni vyake BWANA milele na milele, Amina...
 
Kwann mm ndo nifate yako na kwann we usifate yangu wakti wew ndo ulinitongozaaa kuna design ya wanawake hawapendi kuendeshwa kbs yaan bora tuelewana sio kunipelekesha my dear
Hutaki kuendeshwa ila unaomba hadi hela ya kula na ya kodi ya chumba😂😂😂😂
Ila wanawake kwa kweli ni mama zetu, dada zetu, wake zetu na tunawapenda sana, ila wengi wao akili zao ni mufilisi haswa!! Yaani ni empty boxes.
 
We ni mchoyo tu
 
Mwanaume ww ndio unaanza kuulizia ndoa?????

Hataki muachane coz anakutumia kama kitega uchumi cha ziada sasa mkiachana hiyo 80+ ataipataje?
 
We ni mchoyo tu
Sio uchoyo. Unaweka vitu vinavyopingana in one sentence.
Huwezi kuongelea kutotaka kuendeshwa while at the same time unaomba hadi hela ya pedi, hiyo ni very illogical. Kutokuendeshwa kunaanza na financial freedom. Unahudumiwa hadi hela ya pedi kisha unaongelea kutokuendeshwa? Hata uamuzi wa jamaa umekuja kutokana na kuona kabisa kuwa financially hiyo kazi haimsaidii chochote huyo demu. Kama unafanya kazi halafu unashindwa hata kununua pedi, most likely hiyo kazi inakupotezea tu muda.
Shida wanawake huwa hamna logic kabisa, mnawaza kindezi sana.
 
Hapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Jamani si kila mtu ana maamuzi yake kama hataki kuolewa ni yeye. Wanaotaka kuolewa wakipata wa kuwaoa wataolewa na wasiotaka basi ni maamuzi yao.
 
Sio uchoyo. Unaweka vitu vinavyopingana in one sentence.
Huwezi kuongelea kutotaka kuendeshwa while at the same time unaomba hadi hela ya pedi, hiyo ni very illogical. Kutokuendeshwa kunaanza na financial freedom. Unahudumiwa hadi hela ya pedi kisha unaongelea kutokuendeshwa? Hata uamuzi wa jamaa umekuja kutokana na kuona kabisa kuwa financially hiyo kazi haimsaidii chochote huyo demu. Kama unafanya kazi halafu unashindwa hata kununua pedi, most likely hiyo kazi inakupotezea tu muda.
Shida wanawake huwa hamna logic kabisa, mnawaza kindezi sana.
Sijui nikujibuje anyway ,,,,, kaa na pesa zako
 
Hawa viumbe ni kuishi nao Kwa akili mkuu. Mimi ninae mmoja, wakati namtongoza alikua anaishi na dada yake. Baadae akaniambia anataka kupanga Kwa sababu mdogo wake anakuja na angependa aishi nae. Nikampa Hela ya kupanga ila kushangaza imepita miezi miwili sioni mdogo wake akija. Nimepiga pin kwake anaenda Kwa mwezi mara Moja na kodi analipa mwenyewe. Nimemuachs aendelee kulipa Kodi ya bure mpaka akili yake imkae sawa lakini siwezi kulipa Kodi wakati nyumba ninayo
 
mkuu huyu mtoto ni pisi na nusu na kuna vigezo vyangu (kimuonekano na tabia kidogo) amevikamilisha. Nilikua nataka nijitambulishe kwao ili nisije kumkosa. Lakini amenikatisha tamaa kabisa.
Hahah.. kwa namna ambavyo nasome hii sms na wewe lazima unatoka lake zone bwashee.

Nimejaliwa kukaa na watu mbalimbali najua mambo mengi sanaa.
 
Back
Top Bottom