Jaman Lulu ana mambo!

Jamani mnahangaika na tabia yake kwani mnataka kuoa bana?

Katoto kazuri kama kale hakatakiwi kupoteza muda kuchangishachangisha nauli, haka kanafaa sana kujipumzishia huku ukikaondolea shida zake zote ikiwepo nauli ya kwenda na kurudi as long as kanawajibika vizuri na kana tunza siri, mwenye namba yake please.

Tuntu umeniboa...
 
Acheni unafiki na kujifanya wasafi sana wa tabia. Mnamsakama mtoto wa watu as if you guys are saints and angels. Na humu 90% ya wanaume Lulu akicheza kwenye anga zao wanamtafuna, hawawezi kumwacha kwa kisingizio chochote kile! Acheni unafiki.

Masaki umeniudhi.....
 
Kwanini Madam? Kwa kuwa nimesema ukweli? Let's call a spade, a spade and not a big spoon!

Kwa wazazi hasa wenye binti kama mimi, kusikia hayo maneno yenu roho inauma, kweli kabinti ni ka sweet lakini kaangalieni tu sio mkakomaze jamani, hivi ingekuwa ni binti yako Masaki ungeona sawa? Ina maana mabinti wote masweet wanatabia zisizokubalika kama huyo binti jamani, hebu acheni hizo. Huko kushangilia kwenu kutasababisha miaka michache ijayo kasiwepo tena...sijui mtakaona wapi tena, taratibu jamani lol!
 
I understand your concern Madam..Lakini sasa sisi tutafanya nini kuzuia asiendelee kuharibika kama wazazi wake wenyewe wameshindwa? Na ukweli ni kwamba hatushangilii Lulu kukosa maadili, tunasikitika but there is nothing we can do. Na lengo hapa lilikuwa ni kuwasema watu ambao ni wanafiki, watu wanaoonyesha kukerwa na tabia yake kwa kumrushia shutuma nzito nzito za umalaya bila ya kutoa suluhisho.

Na nina kwambia, kwa huyo binti yako pia, the only person you can trust about her is yourself. Hakuna cha mchungaji wa kanisa lenu, padri, mwalimu wake, jirani yenu, best family friend wala nani..... Wanaweza kuwa wanafiki sana kwa kuongea maneno mazuri na yenye hekima ila wanayoyafanya nyuma ya pazia yanatisha na kutia kinyaa. Mara ngapi tumeshudia walimu wa dini na viongozi wa dini wakituhumiwa kuwalawiti watoto wa kiume wa waumini wao?

Jamii yetu ina mmomonyoko mkubwa sana wa maadili kwa sasa. Ndio mama sisi tunaosema ukweli tunaweza kuwa tunajenga zaidi kuliko watu wanafiki wanaojifanya watakatifu kumbe ndio wachafu wa tabia kupindukia!
 
Out of blue how do they gonna communicate? maana dogo nae si Kanumba! au itakua Square root nyiingi
 
Tuntu umeniboa...

Kwa wazazi hasa wenye binti kama mimi, kusikia hayo maneno yenu roho inauma, kweli kabinti ni ka sweet lakini kaangalieni tu sio mkakomaze jamani, hivi ingekuwa ni binti yako Masaki ungeona sawa? Ina maana mabinti wote masweet wanatabia zisizokubalika kama huyo binti jamani, hebu acheni hizo. Huko kushangilia kwenu kutasababisha miaka michache ijayo kasiwepo tena...sijui mtakaona wapi tena, taratibu jamani lol!

Madam T, nisamehe bure kabisa.

Huyu binti tayari ameshatimiza miaka 18, hivyo kwa sheria za Tanzania huyu ni mtu mzima, mwenye akili timamu, mwenye haki zote za msingi ikiwepo kupenda na kupendwa as long as havunji sheria, ebu tujitahidi kumhakikishia haki zake hizi, ikiwepo kumsaidia kupambana na changamoto zake za kimaisha pale anapotoa nafasi ya kusaidiwa.

Lakini pia, jamani hivi utamwachaje binti mzuri na teketeke kama huyu fursa inapojitokeza?ukizingatia miaka hairudi nyuma na wakati wa yeye kuwa kwenye kilele cha uzuri wake ni sasa, kadri miaka itakavyosonga graph ya uzuri wake itashuka tu mpaka kwenye level ya kutotamanika.
 
whatever life t has being made to be like this as u can see ppl can not be the same n t z ha lyf style so no one z perfect.
 
Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber. Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds katika kipengele cha Movie Leo. Nyota huyo amesema kwa sasa anachangisha michango ya nauli ili aweze kufanikisha ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana. Lulu ameweka wazi kuwa anampenda Bieber kiushabiki wa muziki wake lakini pia hatakuwa na kinyongo endapo dogo huyo ataomba mavituz siku watakayokutana.

Dogo Mjasiiriamali anajua kwamba akifanikiwa kumpa Mavituz huyo dogo wa Mtoni hatakosa nauli ya Kurudi na anaweza kuukwaa hata Uraia wa Uingereza LoL!
 
Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber. Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds katika kipengele cha Movie Leo. Nyota huyo amesema kwa sasa anachangisha michango ya nauli ili aweze kufanikisha ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana. Lulu ameweka wazi kuwa anampenda Bieber kiushabiki wa muziki wake lakini pia hatakuwa na kinyongo endapo dogo huyo ataomba mavituz siku watakayokutana.
.................mwe!
 
haa haa haa kweli kazi unayo.Kwa hiyo kanafaa kwa matumizi ya binadamu sio?
Hata hivyo ana mvuto sana yule mtoto. Mimi binafsi huwa namkubali sana hasa kiuno chake. Misanii mingine ya filamu mizee hadi makeups zinadunda. Mtu kama Aunt Ezekiel naona amemaliza midume yote ya mjini.
 
Simfahamu mama mzazi wa haka kabinti lakini nadiriki kusema tabia za mzazi wake hazitofautiani na za hako kabinti.
 
She is like a NYMPH...........A nymph in Greek mythology is a female minor nature deity typically associated with a particular location or landform. Different from gods, nymphs are generally regarded as divine spirits who animate nature, and are usually depicted as beautiful, young nubile maidens who love to dance and sing; their amorous freedom sets them apart from the restricted and chaste wives and daughters of the Greek polis. They are believed to dwell in mountains and groves, by springs and rivers, and also in trees and in valleys and cool grottoes. Although they would never die of old age nor illness, and could give birth to fully immortal children if mated to a god, they themselves were not necessarily immortal, and could be beholden to death in various forms.Other nymphs, always in the shape of young maidens, were part of the retinue of a god, such as Dionysus, Hermes, or Pan, or a goddess, generally the huntress Artemis.Nymphs were the frequent target of satyrs. They are frequently associated with the superior divinities: the huntress Artemis; the prophetic Apollo; the reveller and god of wine, Dionysus; and rustic gods such as Pan and Hermes.The symbolic marriage of a nymph and a patriarch, often the eponym of a people, is repeated endlessly in Greek origin myths; their union lent authority to the archaic king and his line.

The term nymphomania was created by modern psychology as referring to a "desire to engage in human sexual behavior at a level high enough to be considered clinically significant", nymphomaniac being the person suffering from such a disorder. Due to widespread use of the term among lay persons (often shortened to nympho) and stereotypes attached, professionals nowadays prefer the term hypersexuality, which can refer to males and females alike.The word nymphet is used to identify a sexually precocious girl. The term was made famous in the novel Lolita by Vladimir Nabokov. The main character,Humbert Humbert, uses the term countless times, usually in reference to the title character.Nymphs who mate with the god Poseidon, are believed to give birth to the mythical creature, cyclops.
 
Hata hivyo ana mvuto sana yule mtoto. Mimi binafsi huwa namkubali sana hasa kiuno chake. Misanii mingine ya filamu mizee hadi makeups zinadunda. Mtu kama Aunt Ezekiel naona amemaliza midume yote ya mjini.

Mtasema yote, nie wenyewe ndo mnawa-do, ulijuaje aunt kamaliza midume yote kama hujampitia, haya saa hizi unatamani kiuno cha Lulu....lol!
 
Aah mwita25 kumbe kwenye mambo haya upo mi nilidhani ni siasa tu.umekamilika sekta zote!safi sana!

Back
Top Bottom