Jaman Lulu ana mambo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaman Lulu ana mambo!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwita25, Oct 17, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber.

  Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa katika kipindi cha Leo Tena ya Clouds katika kipengele cha Movie Leo. Nyota huyo amesema kwa sasa anachangisha michango ya nauli ili aweze kufanikisha ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana.

  Lulu ameweka wazi kuwa anampenda Bieber kiushabiki wa muziki wake lakini pia hatakuwa na kinyongo endapo dogo huyo ataomba mavituz siku watakayokutana.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,639
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  sifa za kijinga hizo zinamsumbua huyu mtoto wa kwa kopa..
   
 3. j

  joyce wande Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eti lulu anataka kuchangisha pesa ili aweze kwenda UK kumwona Justin Bieber coz anampenda sana na hata ikitokea justin akamtaka kmapenz yupo tyr kwel huyu mtoto ndoto zake noumaaaaaaaaa.
   
 4. n

  ngararumo Senior Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sio kosa lake akikua ataaacha......
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  mwambieni wako zaidi ya milioni 20 kama yeye....
   
 6. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,496
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kunzisha madarasa ya jinsi ya kuishi ukiwa maarufu, biula kujali ukubwa wa umaarufu wako..........
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,952
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  huyu mtoto anahitaji zaidi ya ushauri...aibu kwa kweli
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,330
  Likes Received: 604
  Trophy Points: 280
  Sio kosa lake...malezi yanachangia.
   
 9. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mwambie hana haja ya kuchangisha fedha. Anitafute nitamlipia gharama zote kuanzia usafiri, hoteli, shopping, kiingilio kwa huyo Bieber na mazagazaga yote! Mtoot mzuri kama yule hatakiwi kupata shida atii!!
   
 10. facebook

  facebook Senior Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siyo mtoto..,ni mdada! Anaabisha wadada wooote!
   
 11. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #11
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,496
  Trophy Points: 280
  Fataki..............
   
 12. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Ninyi mkisema wa nini wenzenu tunajiuliza tutampata lini....!!
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,496
  Trophy Points: 280
  Kile ni kitoto jamani...... Utoto/ukubwa ni umri na si udogo/ukubwa wa sehemu yoyote ya mwili wake
   
 14. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uroho mwingine bana sasa wewe kwa akili yako unafikiri kuna "K" pale?pale kuna kibuyu tu tena cha kijiji.
   
 15. j

  joyce wande Member

  #15
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kawamaliza wa bongo so anahamia huko jaman n v2ko
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Hata hivyo ana mvuto sana yule mtoto. Mimi binafsi huwa namkubali sana hasa kiuno chake. Misanii mingine ya filamu mizee hadi makeups zinadunda. Mtu kama Aunt Ezekiel naona amemaliza midume yote ya mjini.
   
 17. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,496
  Trophy Points: 280
  Pale kuna korongo tu la kupitishia maji taka....................
   
 18. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi baba yake yupo hai kweli
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mtasema yote kwa kuwa tu mtoto wa watu ni mzuri halafu ni maarufu. Mademu wangapi wa mitaani nao ni majamvi ya wageni lakini hamwajui kwa kuwa wao si maarufu? Na kila siku mnawasalandia bila kujua!

  She is above 18 kwa hiyo si mtoto tena!
   
 20. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hata waandishi wa habari inabidi waangalie ni mu wa aina gani wanamfanyia interview!
   
Loading...