Navigator Paul
Member
- Mar 12, 2025
- 64
- 88
Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi
Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa
Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?