Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi

Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa

Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Hama
 
Dah sasa mpaka kwaresma iishe siutakua umepoteza usingizi mwingi sana
 
Tafutaa Hela mkuu wanaume waliopevuka hawakai geto Moja ,tafutaa hata chumba Cha 25000 Cha Giza uhame hapo mnapokaa mabeberu wawili mix kunusishana harufu za boxa zenu na mbupuu..
Sio tu poumbou mixa minduku
 
Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi

Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa

Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Vumillia tu mpaka mfungo uishe.
Au fanya hivi,akiwasha we unazima akiwasha we unazima mpaka achoke.
 
Tafuta ata chumba kisicho na umeme upange kukaa na mtu kazi kweli
 
Tafutaa Hela mkuu wanaume waliopevuka hawakai geto Moja ,tafutaa hata chumba Cha 25000 Cha Giza uhame hapo mnapokaa mabeberu wawili mix kunusishana harufu za boxa zenu na mbupuu..
Well said
 
Utajuaje amefunga?anakuonyesha kwa vitendo kwamba anajua kuabudu kukuzidi.

Inaonekana wewe kuna bado heshima hujampa akiwa kama muislam leo muulize kabisa anataka umpe sifa gani ili aheshimu privacy yako?
 
Back
Top Bottom