Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

Jamaa Angu Anatumia Dakika 40 Kula Daku

Hivi watu wanawezaje kuishi room 1 jinsia 1, tofauti na hostel.
Kama hukupitia hayo maisha mshukuru tu Mungu. Watu huishi hata zaidi ya mmoja. Kuna wakati mambo yanakuwa sio mambo. Kinachonisikitisha kwa mleta uzi ni kuwa anakerwa na vitu ambavyo ni lazima avipitie kwa sasa. Mambo kama ya huyo jamaa yake ni kama kichocheo cha kuongeza juhudi kujikomboa.
 
Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi

Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa

Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
Bila shaka wewe ni mgogo
 
Mna mda gani mnaishi wote hvyo? Mana maisha km hayo mm mara ya kwanz na mwisho wakat nasoma tukiwa hostel
 
sasa hapa mbona haueleweki unataka nini?

kama unataka ushauri........cha muhimu tafuta chumba....mnakaaje wanaume wawili mliopevuka chumba kimoja
 
Yaan wewe umashidwa kumwambia mwanaume mwenzio unakuja kulalama huku si mambo ya kipuuzi haya.

Kula daku dakika kadhaa, mara anawasha Taa si ujinga huu mnatuletea.

Ukipigwa Exile wewe si dunia nzima itajua

Nakumbuka on 20212 nikiwa chuo ,nilikua nimepanga na msela Exile tilipigana freshi tuu

Be a man and talk to your friend,
 
Kufunga ni kubadili tu muda wa kula
Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi

Jamaa Ambaye Nimepanga Naye Tatizo Lake Moja Mimi Akirudi Huwa TAYARi Nakuwa Meshapumzika Ila Taa Huwa Inazimwa Jamaa Akirudi Inaweza Fika Saa 9 Anakula Daku Na Mimi Kazi Zangu Za Kuchoka Huwa Tunazima Taa, Ndiyo Angalau Kwa Sababu Na Huku Joto Kali Taa Ukiwasha Inaleta Joto Ukizingatia Hamna Hata Feni Jamaa Akirudi Hazimi Taaa Unamwambia Zima Anasema Subiria Bhnaa Hazimi Haya Kwenye Daku Sasa

Jamaa Anaweza Tumia Hata Dakika 40 Anakula Tu Huku Anasikika Kwa Nguvu Anavyotafuna Nakaa Nawaza Hali Hiii Sio Nzuri Maana Ananikuta Meshapumzika Taa Hazimi Anatumia Muda Mrefu Sana Kula Sio Kwamba Ni Bahati Mbaya Makusudi Tu Ilimradi Wakuu Nifanyaje?
 
Japo hali ya maisha ni ngumu, fanya jitihada uhame chief.

Wanaume wawili hawaishi chumba kimoja.
 
Kama hukupitia hayo maisha mshukuru tu Mungu. Watu huishi hata zaidi ya mmoja. Kuna wakati mambo yanakuwa sio mambo. Kinachonisikitisha kwa mleta uzi ni kuwa anakerwa na vitu ambavyo ni lazima avipitie kwa sasa. Mambo kama ya huyo jamaa yake ni kama kichocheo cha kuongeza juhudi kujikomboa.
Kuna umri lakini au kutokana na mazingira. Ila watu wazima sio sawa kivilee.
 
Dawa ni kukaa mwenyewe tu

Back
Top Bottom