Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,535
- 11,397
Nakubali kabisa na naunga mkono hoja huyu alijali maslahi ya wafanyakazi wa Umma hongera sana Ndugu JM Kikwete. Hutasahaulika kamwe
Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya!
Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka 55. Hongera sana. Tumpe pia hongera mama Salma Kikwete naona anakulea vizuri sana!
Hongera sana mama. Tungetamani kama ikiwezekana urudi tena ikulu. (Msiniponde mawe, hayo ni mawazo yangu hata kama yanatofautiana na ya kwako).